Eneo lenye Pagale Mbili Linauzwa
Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali.KM 1 kutoka barabara kuu ya Moshi Arusha.
Eneo lina Pagale Mbili Moja Self ya Vyumba 3 na NYingine in ni Double yenye Master Room.
Bei ya Eneo ni Milioni 18 ila Maongezi yapo.
Kwa mawasiliano Piga Simu nama 0757323060.
Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa...
Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
Inabidi tuseme wazi bila kupepesa macho!! Tatizo la Dr Koboko ni kuwa anaona kula kwa kadri ya urefu wa kamba ya udaktari tu haitoshi! anataka aunganishe na ile ya ufamasia!! Sababu yake ni kuwa eti kwa sababu anaweza kutoa dawa pharmacy bila mgonjwa kuwa na prescription
Hataki mfamasia atoe...
Habari!
Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi.
Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo.
Kama...
Eneo linauzwa Heka mbili zote kwa Tzs. 16,000 ,000
Mahali: Eneo lipo km 4 kutoka Barabara kuu ya Bagamoyo, ukitokea bunju Ni upande wa kushoto kabla hujafika Bagamoyo mjini .
Lipo karibu na shule ya msingi MATAYA . Eneo Lina Michungwa na minazi
Unaweza Shuka Kitopeni au Kibaoni kabla ya...
Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa huohuo, Je kuna haja ya kwenda TRA na HALMASHAURI kwa ajili ya kubadili location ya biashara au unasubiri...
Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
Nimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu.
Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana?
Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi.
Je, haya maeneo huwa inakuwaje unashangaa watu wenye uwezo kiuchumi KUJENGA sana Mitaa hiyo kwa...
Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
Gavana, Viacheslav Chaus, alitumia programu ya kutuma ujumbe ya Telegram kukashifu ahadi ya Urusi.
"Urusi yaanzisha mashambulizi mapya baada ya ahadi ya amani, Tunaamini ndani yake? Bila shaka sivyo," alisema, akiongeza Urusi ilikuwa imeshambulia Chernihiv "usiku kucha".
Siku ya Jumanne, Urusi...
Hello Jf
Hili ni eneo lenye mita za mraba 4,248
limepimwa tayari beacon zipo
Hati ipo, inasoma Biashara na Makazi
Halina tatizo lolote.
Unaweza Weka Biashara yoyote unayoona inafaa (KAMA KITUO CHA MAFUTA), YARD YA MAGARI ama ukajenga makazi
BEI ELEKEZI NI 160 million Tshs.
mpigie mwenye...
Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori.
Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka kuishi sehemu yoyote watakayoichagua wao wenyewe.
Source: ITV habari!
=====
Waziri Mkuu Kassim...
UTANGULIZI
Mambo mengi sana yameongelewa, lakini kuna yaliyofichika nyuma ya pazia. Unapoangalia mgogoro wa Ukraine na kuuchambua hebu tujitahidi kuzingatia haya mambo muhimu yafuatayo. Tuzingatie umuhimu wa kiuchumi wa nchi ya Ukraine kwenye siasa za Urusi, Marekani na Ulaya. Hapa nazungumzia...
Wakuu kama mada hapo juu.
Tumefika saa mbili lakini zoezi linaendelea hadi mda huu. Wanataka imei number na wamesisitiza hawataki simu za shangazi uje nayo leo na siku za kazi unakuja nq samsung yako s2.
Uhakika wa chaji kutunza ndio msingi wa zoezi
Hello friends, nafikiri ni wakati wa kufanya visivyo fanyika kwa mazoea.
Hii biashara ni promising, kutokana kuongezeka kwa ujanja ujanja kwa generation hii ya watoto wanaopenda good times. Pia wazazi wenyewe wa generation yetu wangependa watoto wao wa-enjoy.
Hii itajumuisha, kununua ardhi na...
Nawasalimu wanaforum wenzangu,
Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na eneo la Marekani.
Lengo la nyambizi hizo ni kujibu hatua yoyote Marekani atakayochukua dhidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.