asali
basi
ccm
chadema
chama
eneo
hadhi
hawana
huwa
kioo
kujenga
kujengea
kukosa
kukusanya
kwanza
makao makuu
mkakati
njaa
ofisi
pesa
sana
simba
soka
tunahitaji
umma
viongozi
viwanja
waganga
waganga njaa
wakati
wapi
watoto
wazo
yanga
Nyumba inauzwa ikiwa haijapauliwa ramani ya kisasa
Eneo ukubwa ni 30*25
Mahali Mbezi luois
Bei milioni 35,000,000/=
Mazungumzo yapo na karibu sana
Mawasiliano piga sim 0713660178
Frem,mabanda na eneo lipo ndan ya uzio
Linapangishwa
Frem mbili
Eneo ndani ya uzio
Mabanda yapo ndan ya uzio
Unaweza fanya biashara
Unayotaka wewe
Lipo bagamoyo zinga kwa mtoro
Lipo jirani na barabara.
BEI 150,000/= KWA MWEZI
CALL 0766776815
Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme.
Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata!
Tufanye nini?
Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila akafunga goli moja tu. Tukirudi kwa Kagere yeye akipata nafasi ya kufunga katika mbili atatupia at...
Mapema leo, jeshi la polisi mkoani Shinyanga limevamia katika eneo ambalo Mwenyekiti wa Chama hiko alikuwa aweke jiwe la msingi ili kuzindua ujenzi wa ofisi za CHADEMA.
My take:
Nyani wapya msitu wa zamani
Wapo madereva na wafanyabiashara wanaohitaji msaada wakati huu pale mpakani mwa Rwanda na Kongo,Gisenyi almaarufu GRAND BARRIER.
Watumishi wengi Watanzania wahudumuo kwenye mission maalum ya Usalama upande wa Kivu kaskazini wanaweza kutumiwa kuwaokoa ndugu zao endapo team leader atawasiliana na...
Katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa, Mhe. Spika amewaasa wakuu wa mikoa kuacha kujiita marais wa maeneo wanayoyaongoza akidai kufanya hivyo kunawafanya kujiona kama Rais.
Binafsi sioni tatizo kujiita jina la unayemwakilisha eneo husika. Lililo la msingi kwao ni kumwakilisha Rais kwa...
Wana bodi, natumai mko poa
Katika hali ya kusikitisha, wakazi wengi wa jiji la Mwanza wanapata huduma katika hili soko la machinjioni (kitengo cha ndizi na matunda mengine) ingali hali ya mazingira ikiwa hovyo namna hii
Maradhi ya mlipuko yanawanyemelea wateja na wauzaji
Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya
Na Kelvin Isenye Ogome
Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mama Samia Suluh Hassan, wakati wa kuwapisha makatibu wakuu na baadhi ya wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali aliagiza wizara ya maliasili na utalii inayongozwa na mhe.Dr Damas ndumbaro(MB) watafute suluhisho la kudumu ndani ya wenyeji waishio ndani ya mamlaka ya...
Bagamoyo inafyreka tu, haitakuwa na simile na mtu!
Tuliwahi kusikia taarifa nyingi kuhusu mpango wa kuiboresha bandari ya Dar es Salaam ili iweze kutoa huduma nzuri kwa wateja wake, na kuvutia wateja wapya toka sehemu mbalimbali, hasa majirani zetu wasiokuwa na bandari, kama DRC, Zambia...
Kanuni ya 168 (1)(a) ya Kanuni za Manunuzi wa Umma za Mwaka 2013 inataka ushiriki wa jamii katika kubuni miradi kwa nia ya uendelevu au kufikia malengo husika ya kijamii ya miradi.
Ripoti ya CAG imeeleza, hakukuwa na ushahidi wowote unaoonesha ushiriki wa jamii husika katika uchaguaji wa mitadi...
Mnara wa Askari jina lingine panaitwa kilomita zero ndipo unapoanza kuhesabu kilomita kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mingine
Je, mkoani kwako huanzia wapi? Kilomita zero iko wapi?
Huyu ni rafiki yangu tangia zamani na mpaka leo tupo karibu, tunafanya nae kazi shirika moja na ni moja ya marafiki zangu wachache ambao tumejuana muda mrefu.
Sasa huyu rafiki yangu anapenda sana muziki kuucheza tangu sekondari, huko chuo ndio kabisa alikuwa mzee wa disco sana, na hata...
Korea Kaskazini yafyatua makombora ya masafa marefu katika bahari ya Japan
CHANZO CHA PICHA, REUTERS. Maelezo ya picha: Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amerudia kufanyia majaribio makombora ya masafa marefu
Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu ndani ya bahari ya Japan...
Maisha yanaenda kasi sana. Sikwenda mjini kwa miaka kadhaa hasa baada ya kuhamia uswekeni huku Goba.
Juzi kati nikasema ngoja nikaoshe macho kidogo kwenye jiji la Ilala (zamani Dar es Salaam). Nilipofika jirani na RITA sikuamini nilichokiona. Ilipobomolewa club ya mwenyekiti nilijua kutakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.