Habari JF,
Sisi ni baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Machimbo na mitaa jirani, Kata ya Kipunguni B, jijini Dar es Salaam. Tumekuwa tukizungushwa kwa muda mrefu kuhusu urasimishaji wa makazi yetu, bila kupata majibu ya uhakika kuhusu hatma ya nyumba na viwanja vyetu.
Kwa zaidi ya miaka minane sasa...
Anonymous
Thread
ardhi
eneoeneolaviwanda
kipunguni
nyumba
viwanda
wananchi
Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.