Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi hilo. Habari katika picha inaeleza zaidi kilichotokea.