hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
š¤£Iran Wana akili. Jana Israel na marekani wamefanya shambulizi katika chuo kikuu Cha sayansi na teknolojia huko tehran.wanadhani ukipiga majengo ya chuo utakua umeua knowledge š¤£
š¤£Iran Wana akili. Jana Israel na marekani wamefanya shambulizi katika chuo kikuu Cha sayansi na teknolojia huko tehran.wanadhani ukipiga majengo ya chuo utakua umeua knowledge š¤£
Unaumia ukiwa wapi kaka !? ššHabari za Irani nyingi na za uongo na za propaganda za ki AI kama zile wanazotengeneza za kumsilimisha Ronaldo na watu wengine maarufu. Izraeli akitoa habari kuwa kwaliwahisha jitu Fulani kwenye mabikira 72 ni kweli. Sasa hivi habari ya mjini ni kamanda wa jeshi la majini Sasa hivi kasha Anza kuwashughilikia mabikira 72
Ni jambo jema nala kuigwa na mataifa yoteKatika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi hilo. Habari katika picha inaeleza zaidi kilichotokea.View attachment 3564140View attachment 3564141
Israel sio Taifa kubwa tulilishwa matango pori
šš Kaka Taifa kubwa haliwezi kutandikwa Kwa kiwango hiki wanacho tandikwa Sasa ,Wakija waisraeli wa Mpitimbi na Utegi, ujiandae kwa matusi. š
šššNi jambo jema nala kuigwa na mataifa yote
šš Kaka Taifa kubwa haliwezi kutandikwa Kwa kiwango hiki wanacho tandikwa Sasa ,
Taifa kubwa compared to Whom labda Waarabu wa middle east na sio Iran
Nakubali ila sio waisraelSio waarabu, kuna nchi za ulaya nyingi tuu hazinkamati Irani kwa mmambo mengi. Wewe umesikia juzi kwamba anazo kombora za 4000km na katengeneza mwenyewe, ana drones katengeneza mwenyewe. Tuwe wakweli hawa wavaa vilemba na kobazi wa Irani wapo mbali sana kimedani.
Nakubali ila sio waisrael