Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

Irani anakitu, ndio maana anasakamwa. Kwa vita hii naona wazi Irani kawazidi mbali sana kivita mataifa mengi makubwa.
Ni mwezi sasa anatunisha misuli hapo middle East dhidi ya mataifa makubwa pair duniani. Kiukweli hata wao wanaogopa, wana hofu na Irani.
Irani tumpe maua yake alishajipanga. Ingekuwa nchi nyingine viongozi wameuwawa 40 washavurugana muda sana.
 
Irani anakitu, ndio maana anasakamwa. Kwa vita hii naona wazi Irani ni kawazidi mbali sana kivita mataifa mengi makubwa. Ni mwezi sasa anatunisha misuli hapo middle East dhidi ya mataifa makuba pair duniani.
Irani tumpe maua yake alishajipanga. Ingekuwa nchi nyingine viongozi wameuwawa 40 washeshavurugana muda sana.
Iran Wana akili. Jana Israel na marekani wamefanya shambulizi katika chuo kikuu Cha sayansi na teknolojia huko tehran.wanadhani ukipiga majengo ya chuo utakua umeua knowledge 🤣
 
Mlipuko mwengine katika eneo la viwanda huko Israel muda huu
Screenshot_20260329-175735.jpg
. Hii Leo kama ni biashara ya duka Iran kaingiza faida.
 
Habari za Irani nyingi na za uongo na za propaganda za ki AI kama zile wanazotengeneza za kumsilimisha Ronaldo na watu wengine maarufu. Izraeli akitoa habari kuwa kwaliwahisha jitu Fulani kwenye mabikira 72 ni kweli. Sasa hivi habari ya mjini ni kamanda wa jeshi la majini Sasa hivi kasha Anza kuwashughilikia mabikira 72
 
Pole sana najua inauma ila vumilia 😂
 
Habari za Irani nyingi na za uongo na za propaganda za ki AI kama zile wanazotengeneza za kumsilimisha Ronaldo na watu wengine maarufu. Izraeli akitoa habari kuwa kwaliwahisha jitu Fulani kwenye mabikira 72 ni kweli. Sasa hivi habari ya mjini ni kamanda wa jeshi la majini Sasa hivi kasha Anza kuwashughilikia mabikira 72
Kwa ujinga wako kichwani habari zinazoletwa humu za Iran nyingi zinaanza kutangazwa TIMES OF ISRAEL. Sasa kama uongo basi waambie TIMES OF ISRAEL.
 
Habari za Irani nyingi na za uongo na za propaganda za ki AI kama zile wanazotengeneza za kumsilimisha Ronaldo na watu wengine maarufu. Izraeli akitoa habari kuwa kwaliwahisha jitu Fulani kwenye mabikira 72 ni kweli. Sasa hivi habari ya mjini ni kamanda wa jeshi la majini Sasa hivi kasha Anza kuwashughilikia mabikira 72
Boss agenda ya Iran sio kuua binadam kama walivyo wendawazimu akina Trump na Netanyahu,
Leo Iran itashambulia vyuo vikuu vyenye ushirika na marekani middle East yotee lakin kuepusha kuua watu alishawaambia raia wote kaeni mbali na maeneo ya vyuo vikuu.

Kama Iran wangetaka kumuua Netanyahu wangesha mpiga FATAH-3 moja tuu.

Hii vita Israel locha ya kusaidiwa na USA bado kwake madhara ni makubwa zaidi kutokana na udogo wake wa eneo na population ndio maana raia wameshaanza kuandamana huko Israel hawataki vita tena 🙏
 
Irani anakitu, ndio maana anasakamwa. Kwa vita hii naona wazi Irani kawazidi mbali sana kivita mataifa mengi makubwa.
Ni mwezi sasa anatunisha misuli hapo middle East dhidi ya mataifa makubwa pair duniani. Kiukweli hata wao wanaogopa, wana hofu na Irani.
Irani tumpe maua yake alishajipanga. Ingekuwa nchi nyingine viongozi wameuwawa 40 washavurugana muda sana.
Israel sio Taifa kubwa tulilishwa matango pori
 
Back
Top Bottom