Habari za usiku huu wadau/wanajamii forum.
Kwa ufupi tu, kwa wale/Yule ambaye yuko tayari kuwekeza kwenye sector ya uzalishaji(maji, juice, pombe, unga au product yoyote inayohusu chakula). Karibu Kilimanjaro, kuna eneo tayari Lina jengo kubwa( limekamilika kabisa), kuna mashine ya kuchuja...