eneo

  1. Bila kuleta udini na uhafidhina, kati ya Israel na Palestina nani aliyevamia eneo la mwingine?

    Japo katika kujibu swali hili kutahitaji historia, naomba tujitahidi tusilete udini bali chanzo halisi cha mgogoro huu wa Palestina na Israel. Ninachokijua kime-base kwenye dini na ndio maana nashindwa kukiweka hapa, nawaomba wataalamu wa Historia ya Israel na Palestina watusaidie, pia mtu...
  2. Yaani uweke Kambi yako eneo ambalo analijua na kila Siku anakuumizia hapo hapo halafu leo ujitutumue Kumfunga na Kufuta Uteja? Wadanganyeni Wehu wenu

    Mimi ninachojua tu ni kwamba leo ndiyo tunaenda Kuachwa rasmi kwa Alama Nne (4) na Wao kuwa Mabingwa tena.
  3. Siku moja baada ya maafa ya Golani Airbase, inaonesha kushindwa kwa ulinzi mwingine katika kituo cha kati katika eneo la Sharon

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania: Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika eneo la kati, kutokana na ukosefu wa nafasi za ulinzi katika msingi mkubwa na wa kati. Makamanda wa...
  4. Karibu nikujengee uzio wa nyumba yako au eneo lako kwa bei sawa na bure

    Habari zenu wakuu, kama unahitaji kuwekea eneo lako uzio (fensi) Basi karibu nikufanyie kazi yako kwa bei sawa na bure. 0624254690
  5. KERO Taa za Barabarani eneo la Kona ya Nairobi zitengenezwe, ni hatarishi kwa usalama

    Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa kuwa na bahati nazo kukuta zinawaka. Lakini kwa ufupi tu ni kuwa ujumbe wangu Mamlaka zinazohusika...
  6. J

    Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  7. Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

    Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora. Tunahusika na ●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera] ●Electric...
  8. W

    Plot4Sale ENEO LINAUZWA KISEMVULE KWA BEI YA OFA

    Eneo linauzwa lipo kisemvule lenye ukubwa wa square meter 1200, Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana 💲Bei ni million 10.5 📞Mawasiliano Calls and sms...
  9. W

    Plot4Sale Eneo linauzwa Kisemvule

    Eneo linauzwa lipo kisemvule-kibamba lenye ukubwa wa square meter 1200. Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet. Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana. 💲Bei ni million 10.5 📞Mawasiliano Calls...
  10. M

    Uchafu wa bahari eneo la ferry Kivukoni Dar es salaam

    Hamna hata salamu, Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa. Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi? Na sisi wananchi, hivi ni mpaka kampeninya usafi ifanywe ndio tujue umuhimu wa usafi? Hebu tubadilike. Watu...
  11. Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Habari zenu Wana JF? Poleni na hongereni Kwa majukum ya kulijenga Taifa na uchumi wetu Kwa ujumla. Leo nipo hapa kuzungumzia jambo Moja tu. Jambo lenyewe ni kumekuwa na malalamiko ya wamiliki wa vituo vya mafuta. Kulalamikia mifuniko ya kiSasa ya Tank la mafuta MANUAL COVER inayokaa juu ya...
  12. Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Eneo linauzwa lipo Tegeta "A" Goba mpakani mtaa wa Mlimani City Dakika 2 tuu kutoka barabara kuu ya Mtaa ambayo itawekwa lami hivi karibuni. Kutoka site mpaka Goba Center ni mwendo wa dakika zisizo zidi 15 kwa gari/pikipiki. Kiwanja kipo mjini haswaa. Kiwanja kina size ya mita 10 X 10 yaani...
  13. MAMBO YA KUZINGATIA UNAPONUNUA ENEO LA URITHI/MALI YOYOTE YA URITHI

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  14. Kwa viwanja vizuri Goba, Madale, Salasala, Mbezi beach, Makongo hakikisha unawasiliana nasi

    Habari za wakati huu... Natumai wote ni wazima wa afya.. Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa... Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi) AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
  15. Plot4Sale Nauza eneo langu lipo Mkenge heka 3 price 3.5m

    Habari za majukumu wapendwa Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi Eneo lina hati ya mauziano linatambulika na serikali za mtaa. Pleas kama upo interested unaweza ukanicheki kwenye namba...
  16. Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  17. G

    Hongerani Hauth wa Yemen kwa kushambulia nyasi za Israel na kufanikiwa kufyeka Eneo kubwa

    Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea...
  18. Eneo kwawajili ya project kubwa au kwaajili ya biashara linauzwa Madale Mivumoni

    Habari za wakati huu... Eneo linauzwa madale mivumoni... Lipo karibu na shule ya atlas Eneo limezungukwa na njia kubwa kabisa pande zote nne... Eneo lipo tambalale kabisa...🔥 Eneo linafaa kwa projects kubwa kama shule,hospital na hata viwanja vya michezo au sports academy.. Pia kwa wale...
  19. Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

    Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma. Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu...
  20. Waziri Mbarawa atembela eneo ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta TPA, apongeza

    Na Mwandishi Wetu,Dar ES Salaam Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ametembelea mradi wa ujenzi wa matenki maalum ya kuhifadhia mafuta (Oil Terminal) wa TPA unaofanyika katika wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam ukihusisha ujenzi wa matenki makubwa 15 yenye uwezo wa kuhifadhi ujazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…