Katika Hospital za Rufaa za Mikoa na Hospital za Ngazi ya Taifa na Kanda, Madaktari wana maslahi tofauti kimishahara, Daktari wa Hospital ya Ngazi ya Taifa na Kanda anamzidi mshahara Daktari wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wakiwa na elimu sawa.
Kuwaona hawa madaktari wakati wa kuanza matibabu...
"Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania!
Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha...
Panafahamika kama peace valley huko Iraq.. Unaweza ukadhani ni mji kumbe hapo kuna kabauri zaidi ya million 5.
======
The world's largest cemetery, in Iraq's Shi'ite holy city of Najaf, is expanding at double its usual rate as Shi'ite militias bury their dead from the war against Islamic...
Katika hali inayoonesha kuwa ngoma hii ni ngumu Msemaji wa ikulu ya Rais wa marekani John Kirby leo ameeleza wazi kuwa kitendo cha IDF kuingia katika mji wa Rafah kitasababisha Wanamgambo wa Hamas kuwa imara zaidi na kukwamisha mazungumzo ya usitishwaji Vita huko Gaza.
Israeli imesema kuwa...
Wananchi wa kijiji cha Ndolezi kilipo kimondo maarufu cha Mbozi wamekuwa wakiishi hapo kabla ya wanasayansi kuthibitisha kuwa jiwe lile ni kimondo, hivyo kulipa jiwe hilo hadhi ya pekee kulinganisha na mawe mengine yaliyopo kijijini hapo.
Baada ya uthibitisho huo wanasayansi, watalii, na watu...
Wanakumbi
⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa :
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen:
Vikosi vya Wanajeshi...
SAFISHA ENEO LAKO DAR IWE SAFI
Hapo zamani za kale ilijulikana kama mzizima ila kwa sasa hivi inaitwa Dar es salaam ni mkoa wa nchini ya Tanzania pia ni moja wapo la jiji la Tanzania, inawakazi wengi sana kuliko mkoa mwengine wowote Tanzania na ni mkoa mdogo kieneo ukilinganisha na mikoa...
Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo.
Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
Ripoti mbalimbali zinaonesha maeneo mengi ya Nchi yanakabiliwa na Mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri shughuli mbalimbali za kila siku ikiwemo Miundombinu
Hali ikoje katika eneo lako na je, kuna usalama?
Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita.
Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita.
Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo...
Serikali imesema kuwa imeanza taratibu za tathmini ya eneo la makaburi ya Idefu - Makambako na taratibu za malipo zitaanza baada ya kuidhinishwa na Mthamini Mkuu wa Serikali.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji...
Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao.
Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma.
Tujisahihishe. Bado hatujachelewa
Pia soma: Rais Samia...
Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema...
Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia kuna watu Mashariki ya wakati wamezinguana.
Yani huwa hakuna kutulia, ukiachilia mbali mgogoro wa...
Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.
===
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
Wakuu,
Hali ya mvua ndio kama tunavyoona, imekubali kwelikweli? Hali ikoje eneo lipo? Tupeane updates ya eneo uliko na kama unahitajika msaada wa haraka toa taarifa maepma kuepusha maafa zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.