eneo

  1. Angellah Kairuki: Tanzania tunapoteza takribani eneo la misitu hekta 469,000 kila Mwaka. Upandaji wa miti ya Mianzi utaleta tija

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema hayo wakati akitoa Hotuba katika Uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Mianzi (Bambos) kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Cha Utalii Dar es Salaam, leo Februari 19, 2024. Amesema “Natambua kwa takwimu za sasa, Tanzania tunapoteza takribani eneo...
  2. C

    Serikali badilisheni pori tengefu la Kibaha liwe eneo la makazi!

    Naomba kuishauri serikali kupitia wizara ya Ardhi kuangalia uwezekano kubatilisha matumizi ya pori tengefu lililopo Kibaha mkoa wa pwani liwe eneo la makazi ya watu na matumizi mengineyo! Eneo hili lilihodhiwa na shirika la Elimu Kibaha ambapo kwa sasa shirika hilo limefutwa! Pori hili...
  3. Ufalme unaojifitini lazima utaanguka. Umeme ni eneo ambalo serikali inajifitini

    Tazama hii video uone jinsi ambavyo seeikali ya CCM inavyolihujumu Taifa. Najiuliza, TRA wanapata wapi ujasiri kudai kodi kwa wajasiriamali wanaopigwa hasara na serikali kwa kukosa umeme wa uhakika? Nchi haiendeshwi namna hii. Tunapaswa kuiwajibisha CCM haijawahi kuleta unafuu zaidi ya...
  4. Polisi yachunguza tukio la Watu watatu kuuawa baada ya kudaiwa kuiba Bodaboda eneo la Pugu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu watatu lililotokea tarehe 7 Februari, 2024 majira ya saa 9 (tisa) usiku huko eneo la Pugu Kisumo Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam. Watu hao waliouwawa na kundi la watu kwa kuwashambulia na silaha za jadi, wanadaiwa...
  5. Bariadi: Meya aeleza kwanini Stendi ya Mizigo eneo la Kidulya haikusanyi mapato tarajiwa

    Mstahiki Meya wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, Elias Masanja anaaelezea kinachoendelea juu ya mradi huo: “Waziri Mkuu alikuja hapa akatoa tamko kuhusu maboresho ya Stendi hiyo ya mizigo, kwanza sehemu ya kuegesha magari haijawa na miundombinu mizuri, pia hakuna ghala la kuhifadhia mizigo...
  6. J

    Aweso aelekeza mkandarasi eneo la chanzo cha maji Ruangwa kuripoti kazini, aridhishwa na ujenzi wa tenki

    AWESO AELEKEZA MKANDARASI ENEO LA CHANZO CHA MAJI RUANGWA KURIPOTI KAZINI, ARIDHISHWA NA UJENZI WA TENKI Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso ametembelea na Kukagua ujenzi wa Mradi wa Maji wa vijiji 34 vya wilaya ya Ruangwa na Vijiji 21 vya Wilaya ya Nachingwea kutoka Chanzo cha mto Nyangao. Aidha...
  7. Kundi la M23 latangaza uongozi wake katika eneo la Kivu, hofu ya kuundwa taifa huru yaibuka

    DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga kuunda Taifa huru katika eneo hilo. Kupitia taarifa yake iliyochapishwa katika Mtandao wa X (zamani...
  8. Mwanajeshi wa Iran aingiwa na mzuka na kuua wenzake watano, eneo lililoshambuliwa na bomu

    Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports. State TV says the shooting...
  9. W

    House4Sale Kilasilo Guest House inauzwa

    KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA Specifications; 9 rooms self contained zote Fence eneo lote + gate 840m² eneo Kisima (120m) maji muda wote Dawasco pia maji yapo Kutoka barabara kuu ni 600M LOC: MADALE MWISHO Bei 135M (Maongezi Yapo) Mawasiliano 0748 270 719
  10. R

    Ushauri: Serikali iwahamishe wakazi wote eneo la mlima Hanang Manyara

    Salaam, Shalom!!! Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani. Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi. Ninaiomba...
  11. Naomba kujua yafuatayo kuhusu Eneo la Mapinga Kiaraka Mkoa wa Pwani ambako Soon nitakuwa Mkazi Mpya huko

    1. Lilipo Kanisa Katoliki 2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira 3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu 4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni 5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia 6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi 7. Eneo la Makaburi Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu...
  12. Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anayeuza eneo/shamba

    Habari zenu Wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyojua kilimo chetu hapa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata ghorofani ila sana sana wengi wetu tumezoea kulima ardhini. Hivyo basi kama kuna mtu...
  13. Mafuriko yakatisha mawasiliano Barabara ya Morogoro – Dodoma, Waziri Bashungwa atoa maelekezo kwa TANROADS

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia...
  14. Tabata Dar es Salaam: Nani ametoa Kibali cha Vituo 3 vya Mafuta kujengwa ndani ya eneo la Makazi tena chini ya umbali unaotakiwa?

    Kuna vitu nchi hii vinafanyika kihuni sana. Hivi nani anatoa kibali kujenga Vituo vya Mafuta bila kujali umbali unaotakiwa wala kuangalia athari kwa makazi ya watu? Pale Baracuda Tabata kuna Vituo vitatu vinajengwa ndani ya eneo moja tena vimekaribiana mno kiasi ambacho unajiuliza kwanini hatua...
  15. Sasa tunayo fursa ya kihistoria ya kukomboa kila eneo la Lebanon pamoja na eneo la mashamba ya Shebaa

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇱🇧Nasrallah, kiongozi wa Hizbullah: SASA TUNAYO FURSA YA KIHISTORIA YA KUKOMBOA KILA INCHI YA ENEO LA LEBANE, PAMOJA NA ENEO LA MASHAMBA YA SHEBAA. - Tuliwaua wanajeshi wengi wa Israeli, wakiwemo majenerali, lakini adui anaficha majeruhi wake. -Idadi ya walemavu wa...
  16. Mapendekezo ya Namna ya Kuleta Maendeleo Katika Eneo Lako la Uongozi; Nimetumia Diwani na Kata Kama mfano.

    Habari humu ndani, heri ya Mwaka mpya! Tuanze mwaka kwa kuwakumbusha wenzetu viongozi hasa hao wa kuchaguliwa na wananchi waambue dhamana waliyopewa ni kubwa na waitumie vizuri kuwaletea wananchi maendeleo. Utangulizi: Kama Mheshimiwa Diwani, kuna fursa kubwa ya kutumia nafasi hii kwa...
  17. Hezbollah waanza kutoroka Kusini baada ya kuhofia mashambulizi ya IDF

    Wamehofia kwamba IDF inafanya mpango wa kuwavamia, mpaka sasa wamepoteza wapiganaji 123. ==== Hezbollah has begun withdrawing its specila Radwan forces from southern Lebanon over the weekend, amid fears over a surprise IDF attack and escalation of the conflict in Israel's northern border...
  18. Israel yaamrisha Misri iondoe wanajeshi wake eneo la Rafah, inataka kupapiga na ipakalie

    Raundi hii Israel haicheki tena, yaani inatunisha misuli kote maana ni dhahiri hawa waarabu na dini yao hamna siku watakuja kukubali kuishi na Wayahudi kwa amani,================== The IDF has allegedly informed Egypt of its intention to occupy the Rafah border area and asked Egyptian soldiers...
  19. Huduma gani imekuwa Kero kubwa katika eneo lako kwa mwaka 2023?

    Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi. Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
  20. Waziri Dkt. Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027. Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…