Habari wakuu
Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada...
Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990.
Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU.
Aliyebuni hizi boxer engine anastahili sifa maana kama hii nguvu iliyopo kwenye hizi engine ni balaa Sana maana Ngoma...
Utapewa pakulala.
Kazi ni masaa 12.
Mshahara 600k.
Chakula ya asubuhi mchana na jioni utapewa na kampuni.
Utafanya kazi zingine zitakazo husiana na mechanical.
Hii Nchi sasa inabidi ifanyiwe Factory Reset.
La sivyo hakuna kitu kitasimama hata tujikakamue vipi. Ni lazima mnyororo na mkondo wa Mafisadi ukomeshwe. Nani wa kuukomesha?
Mafisadi hawawezi kuukomesha. Likes dissolves like hii ni kanuni ya kikemia. Unachagua fisadi unamwingiza kwenye mfumo wa...
Habari wadau,
Nimekwama hapa, mana hakuna check engine light inayowaka.
Gari inalia knock kwa mbali lakini nikiwa naendesha, huwa inapotea, ila nikisimama naanza kusikia mlio wa knock. Saa nyengine nikiwa idle, hakuna mlio wa knock kabisa, engine inanguruma vizuri tu, na sometime ikiwa idle...
Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi...
HABARI WANA JAMVI NAOMBA TUJIFUNZE KITU MWENYE KUONGEZEA ASISITE KUTOA MCHANGO WAKE
Mark za timing ni kiashirio muhimu kinachotumiwa kuweka uwiano wa kuwasha injini. Kwa kawaida hupatikana kwenye puli ya crankshaft,camshaft au flywheel, inasaidia kuhakikisha kuwa injini inawaka kwa wakati...
ChatGPT Evolves: Real-Time Web Access Transforms AI Interaction
(Change default search engine to ChatGPT search - Official.)
Introduction
Remember those times when asking ChatGPT a question resulted in outdated or irrelevant information? Those days are over. A groundbreaking update has...
Huku tumechanganyika acha tutumiane kama fursa
Nahitaji engine ya pikipiki yenye uwezo wa cc 125, kipaumbele ni aina za pikipiki hizi
Sinoray
Fekon
Boxer
Engine iwe mpya haija guswa ndan offer 2500,00/ 350,000/-
Isiwe na vipengele
Kuna gari 1zz engine vvti inatoa mlio ambao unaonekana ni kama unatoka ndani ya engine na sio nje kwenye mkanda, tensioner imenunuliwa mpya, vvti sensor inaonekana iko vizuri tumetoa chujio,Timing belt haijavutika bado iko vizuri, Anahitajika fundi mwenye akili na aliyewahi kutatua tatizo la...
Natumai wote n wazima wa afya…
Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani?
Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model..
Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa...
Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo.
Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless...
Ushauri kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya 1HZ au 1GD-FTV
Habari wana JF
Naombeni ushauri wenu je kati ya Toyota landcruiser yenye engine ya
1. 1HZ-manual cc 4,164 CC
au
2. 1GD-FTV automatic 2755 CC
ni ipi bora kwa maana ya
1. matumizi ya barabara ambazo sio za lami kwa...
Wakuu kwema, Nina gari yangu RV4 (Miss Tanzania) hii gari ilivunja hii kitu na kupelekea taa ya oil kuwaka nimepeleka kwa fundi karibu wiki sasa tumepata spare part nyingine ila akitega timing yake na kwenye crankshaft ni kuwa inakuwa kama inalia knock flan hivi na isipolia knock basi gari...
Japokuwa wote ni wachezaji wa Yanga na wote wanafanya kazi nzuri katika klabu yao ila wewe kama shabiki wa Yanga unaona nani asipokuwa uwanjani timu ina struggle sana kupata matokeo.
Karibuni kwa mawazo wana JF.
Heri ya Christmas na mwaka mpya.
Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed.
Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye engine nikipita kwenye rasta kwa speed.
Kausafiri kalizima Kama mara moja kutokana na iyo hali.
Je...
Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.