Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu.
Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu...
Habari wadau,
Natafuta fundi wa mashine ya Hydrafoam yenye engine ya HATZ ya diesel, engine yangu haifanyi kazi na vinu pia vina shida nahitaji kuifufua ili niweze kuitumia tena.
Naombeni msaada wenu
Position: Hoist Engine Driver
Reporting to: Shaft Operation Supervisor
Duration: Permanent
RESPONSIBILITIES:
Conduct pre-use inspection, dailies, winder break test and trips
Facilitate the safe hoisting of persons, materials and ore, up and down the shaft
Record conditions of winding engine...
Habari wataalamu,
Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel.
Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka...
Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida nini wakuu?
Msaada tafadhali.
Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo.
1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari.
2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge.
Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
When it comes to choosing a vehicle, many people believe that smaller engines are more fuel-efficient and eco-friendlier than larger ones. However, the truth is more complicated than that. While smaller engines may seem appealing due to their lower sticker prices and higher fuel economy ratings...
Wakuu naitaji engine ya nissani teana 230j Number VQ23EAA6159
Iwe kwenye Hali mzuri na ikiwa na warranty itakuwa jambo Bora Sana
Kwa mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata au anayo hiyo engine anidm
Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine.
Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine...
Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine.
Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search...
Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power.
Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono.
Engine zimekaguliwa na kutestiwa baada ya kufika Zanzibar, Engine...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Samahanini sana kwa nitakao wakela kwa mimi kuleta uzi huu hapa jukwaani.
Nilikuwa naomba kwa ambao wamewahi kufanya interview utumishi ajira za TRC department ya umeme(locomotives engine).
Naomba mnisaidie maswali ambayo huwa yanaulizwa wakati wa interview...
Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life span ya engine is shortned.(Hapa unakua kama upo kwenye limp mode,Gari haina uwakika kwa safari...
Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti..
Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo..
Baadhi ni hizi
Prado 70..
Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni 2LTE..!
Imeandikwa 3.0 turbo mlango wa nyuma hiyo ni 1KZ
Landcruiser Mkonga
Pua mbele.. 1VDFTV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.