Nauza engine K3- VE ( Vvti) cc 1300 na gearbox yake.
Ina changamoto ya rings kutanuka. Hiyo tu na gearbox seal yake inavujisha ni either ifungwe vizuri au ibadilishwe. Mimi nlipata engine complete na gearbox yake nikashusha na kupandisha.
Kama unahitaji au kuna mtu anahitaji tuwasiliane Please.
Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ.
FAIDA MBILI KUU ZA TURBO
1. Kuongeza nguvu ya engine
-Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka wa mafuta kisha kuiongezea engine uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa muda mfupi,hapo ni katika...
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over haul kwa umakini mkubwa sana with Affordable prices.
Nnapatikana Tabata Dar es salaam, Lakn nnafika...
Wajumbe naomba ushauri, Kuna watu huwa wanashauri kuwa unapokarbia kumwaga/kubadili Engine Oil basi uweke Engine Oil Flush dkk chache (wkt Gari inawaka) kabla ya kubadili Engine Oil, inasemekana inasaidia kusafisha Engine vzr kila Kona. Lakini Kuna wanaosema hii kitu si nzuri itaua Engine, je...
Naomba kujua namna inavotumia Mafuta engine hiyo ktk Premio New model ya kuanzia 2002-2005,, kwa DHATI uzuri wa engine (faida na hasara na mazingira ya kwetu,,
Barikiwa ndugu yangu.
Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari.
Naomba saana,
Mwishowe kwa Mil 10 naweza pata namba D?
Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama...
Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
Mwezi May mwaka jana, Freeman Mbowe alisafiri kutoka Moshi kwenda Dodoma. Alipofika Arusha gari yake ikapata hitilafu kidogo. Akapiga simu ikaletwa gari nyingine, na ile ya awali ikapelekwa garage hapo Arusha (naihifadhi jina kwa sasa). Mbowe akaenda zake Dodoma.
Kumbe Sabaya alikua Arusha kwa...
Wakuu nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,
Nina uhitaji wa half Engine ya Nissan hardbody QD 32, mwenye nayo au maelekezo wapi pa kuipata kiurahisi itakuwa msaada kwangu muhimu iwe jiji mwetu humu la joto.
Asanteni.
Natafuta Engine ya Subaru.
Aina ya subaru ni;
"Subaru cross sport SG5 turbo"
Mwenye Yuko na store ya vipuri vya magari tuwasiliane...nimtembelee ofisini kwake.
Nipo dar es salaam
+255784355775
Ni kwamba badala ya kuzunguka kwa kutumia nguvu ya umeme wa betri, starter hii hufanya kazi kwa kuzungushwa kwa mkono kwa sekunde kadhaa kisha nguvu ya mzunguko huhifadhiwa kwenye spring, kisha ile spring starter ikifyatuliwa, ndio engine inawaka, tazama video
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.