Kuna baadhi ya watu huyakataa magari kwa kuangalia Cc za engine(Engine capacity). Lakini huenda kuna watu wameacha magari mazuri kwa sababu ya kigezo hiki. Hebu tuangalie baadhi ya mambo mengine ambayo yanaweza kuchangia ulaji wa mafuta kwenye gari.
1. Aina ya gearbox iliyotumika
Aina ya...
Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy.
Gari ambayo naweza enda...
Habari.
Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi.
Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
Engine ya Nissan:
Code: QG18
Gearbox yake:
Code:N16
Applications:
Nissan Almera, Nissan Sentra, Nissan Sunny, Nissan Bluebird/Sylphy
Mwenye clue na bei ya engine ndogo za Nissan, hio engine tajwa ni 1796cc au 1.8L! Tafadhali taarifa yako ni muhimu.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini tozo kwa makosa ya uvunjifu wa sheria za usalama barabarani zisishabihiane na uzito wa kosa husika kama ambavyo kodi ya PAYE inavyoshabihiana na ukubwa wa mshahara?
(1) Kwanini dereva wa gari iliyofanya...
Endapo baadhi ya matatizo yatatokea katika gari lako hasa matatizo ambayo yanagusa mifumo ya muhimu katika gari lako basi mfumo wa kompyuta wa gari lako utaizima baadhi ya mifumo ambayo si ya muhimu ili kulifanya gari lako lisiendelee kupata uharibifu mkubwa zaidi.
Dalili kuu kwa gari yako...
Wadau kuna mtu aliniambia unaweza kununua engine ya 4cylinders na gear box yake ukaweka kwenye gari ya 6cylinders mfano mark ivi gx 110, je inawezekana? Msaada tutani
Wakuu,
Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA.
Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa.
Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls...
Je, gari yako inatetemeka engine ikiwa ya baridi?
Je, engine ya gari yako inamisi inapokuwa ya baridi?
Je, gari yako ukiwasha inazima yenyewe mpaka uwashe mara kadhaa au uwashe na kupiga resi mara kadhaa ndio itulie isizime?
Kwanza kabisa kama ukiwasha gari unakimbilia kupiga resi basi...
Asilimia kubwa ya matatizo ya engine kuzimazima yanasababishwa na components za umeme kama Sensors, Valves, solenoids n.k.
Engine inaweza kuzima muda wowote mfano wakati ipo idle, wakati unaaccelerate, wakati unafunga brake n.k.
Sababu zote zinazoweza kupelekea tatizo hili zinaingia katika...
Samahani sio mtalaam sana wa engine za magari, lakini nina Coaster boksi ilikua imepata hitlafu kidogo kwenye engine, wakati nafanya mchakato wa matengenezo kuna watu wanasema engine hizo ni za muda mrefu sana inabidi nitafute 1hz.
Lakini wakati huo huo kuna fundi ana nimabia hakuna engine...
Tatizo la engine kumisi(engine misfire) linaweza kusababishwa na mambo mengi sana kama vile, damaged, worn au bad spark plugs, weak ignition coil, broken, clogged au no current katika injector nozzle, fuel pressure regulator, fuel pump, vacuum leaks, sensors kama MAF, MAP, O2, IAT, ECT n.k. In...
Baada ya Mkuu wa Majeshi kupeleka kikosi chake kulitoa lori lililo tumbukia mto Wami, lori limekutwa halina engine wahuni wamesha fanya mambo yao.
Wabongo sio watu wazuri.
Pongezi wa CDF kwa kufanikisha hilo japo kwa kuchelewa.
Ndugu zangu nataka kununua gari hususani brand za Toyota kama vile IST, Raum, Wish, Ipsum, Subaru, Kluger n.k.
Je, ubora na uimara wa injini nitajuaje au nifanye nini nisiingie pori?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.