Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha.
Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
Dear Wadau,
Please kindly naomba ushauri hapa, the key inputs kwangu ni reliability and durability kwenye hizi engine kwenye Toyota Surf ya mwaka 1999.
WHAT IS MOST DURABLE AND RELIABLE ENGINE BETWEEN 3RZ AND 1KZ?
PLEASE NAOMBA MAONI NA UTAALAMU WENU WADAU.
Hii ni Xtrail ya 2007/8. Taa ya check engine inawaka lakini gari inafanya kazi vizuri tu. Nimejaribu procedure za kui-reset lakini bado. Pia nilichomoa battery kwa sekunde chache lakini bado. Kuna jamaa yangu kaniambia yeye inawaka mwaka wa pili sasa na maisha yanaendelea kama kawaida. Kasema...
Kausafiri kangu ka 1ZZ-FE nilikasusa baada ya kuona hali ya sheli imekuwa tete nikaamua niimarishe mwili kwa miezi kadhaa.
Juzi niliamua kukiamsha kwa kukifanyia major service. Sasa kuna tabia ya ajabu imejitokeza japo ilikuwapo ila kwa sasa imezidi. Sikuzote nilifikiri huenda ni transmission...
Naombeni kujua bei ya engine and gearbox mtumba za scania 124.
Kuna mtu anataka kuniuzia lakini naona anataja bei kubwa kuliko nilivyoelekezwa na fundi wangu.
Habari zenu wataalam wa magari, nilikuwa naomba mnipe mwanga kama hizi engine zinafanana,,,
G kavu hizi hapa je zinaingiliana na 3s
1G-E
1G-EU
1G-FE
1G-GEU
1G-GE
1G-GTE
1G-GP/GPE
Afya ya engine ya Gari lako.
Je, unajisikiaje ukinunua gari baada ya muda mfupi sana ikakulazimu ufanye overhaul ya engine?
Ili tuseme engine ya gari ina afya[engine mechanical health], Inatakiwa iwe na uwezo wa kuzalisha Compression pressure inayotakiwa.
Bila compression hakuna gari itawaka...
Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na kuliwasha tena tatizo linapoteza, ukitembea tena km 37 taa zinawaka.
Gari bado lina nguvu na kila kitu kipo...
Wakuu gari iliwekewa engine oil ikawa juu ya maximum leo.
Gari ilikua na sign ya kuvujisha oil ndo maana ikawekewa nyingi lakini sasa inaonekana oil haipunguzi.
Je, hii inaweza ilaleta madhara gani kwenye engine?
Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza.
Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️
Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili.
Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari...
POST ENGINE ROOM ASSISTANT – 4 POST
POST CATEGORY(S) TRANSPORT AND LOGISTICS
EMPLOYER Tanzania Ports Authority (TPA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-03-29 2022-04-11
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To work within the daily work schedule;
ii.To maintain tug log book showing Main engines...
Hii kitu nimekutana nayo sana kwenye familia tatu za engine za toyota
NZ engines[1NZ-FE, 2NZ-FE]
AZ engines[1AZ, 2AZ]
na ZZ engines [1ZZ sanasana]
Sitotaja gari zinazotumia hizo engine sababu hata nikianza kuzitaja ni nyingi sitamaliza, lakini huenda zaidi ya 50% ya gari ndogo ambazo watu...
Wadau nimeona mada nyingi zilianzishwa kwenye jukwaa hili zikihusisha google adsense ila wadau walioanzisha mada hizo hawakuongelea kwa upana kuhusu google adsense pamoja na dependencies zake:
kwenye uzi huu naomba mdau kama una shauku ya kuijua vizuri google adsense basi kaa mkao wa kula...
Kuna tatizo moja common kwenye engine za BMW.
Kama ukiomba ushauri kwa mtu ambaye amecome across na hizo gari wengi moja ya sababu ambayo atakupa kama sababu ya wewe kuacha kununua hilo gari ni hii…
"Achana na hizo gari zinachemsha sana"
Ni kweli kabisa gari za BMW zinachemsha, Ndio maana...
Kama ni mkazi wa jiji la Dar es Salaam.. Then gari yenye Natural Aspirated engine kwako ni sawa..
Ila kama unaishi nje ya Dar ni bora utafute gari yenye Turbo.. Ukiwa na Natural Aspirated hautoweza kupata power yote kama mtu wa Dar..!
Dar ipo +0.00m kutoka usawa wa bahari..
Mikoa mingi ipo...
Kiukweli hapa Mercedes Benz walifanya kazi nzito. Na kweli wakaonesha umwamba wao kwamba wao ni akina nani. Hakuna engine ya 4 cylinder inayojaribu kuusogelea mziki wa hii engine hata kidogo tu.
Hii engine ndiyo ambayo imefungwa kwenye Mercedes AMG A45 S.
Hii engine ina 2.0L Twin Scroll...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.