Mzuka Wana jamvi natumaini mpo powa kabisa,Leo nawaletea malegend Hawa hapa wakuitwa
Earth Wind & Fire
Kwa ufupi waliitwa EW&F au EWF
Hii ilikua ni band ya mziki ilianzishwa mwaka 1969 na Maurice white
Hawa jamaa walipiga genres za R&B,Soul,Jazz,disco,Pop,dance,Latin,nkHawa miamba kutoka...