Kumbe unaweza kuburudika kwa kutazama futbol bila hata mechi za EPL.
Binafsi nilikuwa natamani sana EPL ingekuwemo kwenye king'amuzi cha Azam lakini ndiyo hivyo tena.
Pamoja na kukosekana kwa EPL ndani ya Azam, lakini kwa sisi wapenda soka, angalau nafsi inaridhika kwa kutazama mechi live...