Mwanitesa united a.k.a manyua au maarafu kama man utd imekumbana na kitu kizito kichwani leo hii baada ya kulwamba magoli 2-1 hi timu ni mbovu mnoo inaleta stress, inaleta magonjwa ya moyo kila siku ni huzuni juu ya huzuni!
Manchester United imeanza vibaya msimu mpya wa Premier League 2022/23 baada ya kufungwa magoli 2-1 katika mchezo dhidi ya Brighton kwenye Uwanja wa Old Trafford, leo Agosti 7, 2022.
Mchezo huo ni wa kwanza wa kiushindani kwa Kocha Erik ten Hag tangu aanze kuifundisha #ManUtd, ambapo pia...
Ikiwa ligi kuu ya uingereza inaanza leo kaa karibu yangu niweze kukubashiria matokeo sahihi ya weekend hii! Kwa kuanza Arsenal anakufa 2-1.
Chelsea anadraw 1-1
Liverpool anashinda 3-1
Spurs anashinda 4-0
Newcastle anashinda 2-1
Aston villa anadraw 0-0
Leeds anadraw 2-2
Westham anashinda 1-0
Man...
Masaa, siku na miezi Inakatika. Timu zinasajili na kuwaacha nguli wa soka wasio na mpango nao. Miamba ya soka Ulaya wakibalamsisha kila kona.
Wenzetu tunawashuhudia wakikosa timu kutokana na tabia. Namzunguzia Paul Pogba aina ya wachezaji kama Pogba wenye tabia za uchochezi timu inayofiki...
Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu.
Man City itashuka dimbani Etihad kuwakaribisha Aston Villa huku ushindi ukiwahakikishia ubingwa.
Liverpool...
Heshima kubwa sana kwa Air Manula moja kati ya golikipa bora Afrika.
Mechi ya jana bila Manula tulikuwa tufe nyingi sana. Tazama shots on target.
Aish Salum Manula Goli Kipa Namba Moja Wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania
.
✍Aliyecheza Kwa mafanikio Makubwa na klabu hiyo Kipa bora Wa...
Usajili wa Chelsea kwa dirisha la liliofungwa jana ni usajili bora sana na ni usajili ambao umeboresha makali ya squad
Forward hawa wanne (Pulisic, Ziyech, Lukaku na Werner) wanaipa Chelsea nafasi kubwa sana kuchukua Ubingwa wa EPL panapo 2022
Kusajiliwa kwa kiungo fundi Saul Niguez kunaipa...
Ni vema ukafahamu jambo hili mapema ili usije ukapata matatizo ya kiafya, kwamba timu iliyokuwa inapigania ubingwa leo hii inaburuza mkia , hii ni baada ya game 3 tu.
Wachambuzi wanaitabiria kushuka daraja .
Huyu hajawahi kuwa kocha , bali aliwahi kuwa msimamizi wa mazoezi wa Man City .
leo hii Vibonde waliopanda ligi kuu Brentford 2 -0 Arsenal , ufunguzi wa EPL
Mzuka wanajamvi!
Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi.
Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku.
Kwa...
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 13, Agosti 2021.
Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati.
1. Chelsea FC
2. Man City
3. Leicester City
4. Man United
Tupia na yako
Kesho nitamsimulia mwanangu umahiri wa Andres Iniesta wa kupiga pasi adhimu, Pasi tamu na ilikuwa ni faradhi kufurahi muda wowote ukimwona Iniesta na mpira. Utafurahi zaidi akiwa na Xavi pembeni wakimpelekea mpira yule Njiti wa Rosario Argentina Aufanye mpira Anavyotaka , awanyanyapae Mabeki na...
Usiku wa jana imeshuhudiwa Timu ya Manchester City kutoka Uingereza ikishinda goli 2-0 dhidi ya PSG na kutinga Fainali
Usiku wa leo majira ya saa 4:00 Timu ya Chelsea itakuwa nyumbani kuikabili Real Madrid ili kuamua timu itakayoifuata City Fainali
Ili kutinga Fainali, Chelsea inahitaji sare...
Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 86.3 kwa ajili ya mshambuliaji Mbelgiji anayecheza katika klabu ya Inter Milan Romelu Lukaku, 27, endapo the Blues watashindwa kumsajili mshambuliaji Erling Braut Haaland,20, wa Borussia Dortmund (Calciomercato-in Italian)
Tottenham watajaribu...
Merseyside Derby imemaliza huku ikibadili history ya Everton ya kutofunga Anfield kwa takribani miaka 21 , baada ya kumtandika Liverpool goli 2-0.
N baada ya kujinyakulia alama zote 15 kwenye michezo mitano, Chelsea hii leo imeambulia alama 1 baada ya mchezo wake dhidi ya Southampton kumalizika...
Baada ya kuuanza mwezi Februari kwa kichapo kizito cha goli 9-0 kutoka kwa Manchester United na kisha kupigwa tena 3-2 na Newcastle kwenye michezo ya ligi, Southampton hii leo inashuka tena dimbani kupepetana na Chelsea
The Blues itakayokuwa ugenini leo imepewa imani kubwa ya kushinda mchezo...
Ligi kuu soka England kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kwanza utapigwa saa 3 usiku ukiikutanisha Burley dhidi ya Fulham katika Dimba la Turf Moor.
Baada ya kuiadhibu Crystal palace bao 3-0 weekend iliyopita Burnley anakuja kukutana na Fulham ambaye naye alimtandika Everton...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.