Zama huja na kuondoka. Lakini legacy hubaki. Hapa kuna makocha wanne tofauti ambao kwa nyakati tofauti waliongoza vilabu vyao kutwaa mataji kadhaa ya EPL. Kila kocha alikuwa na rekodi zake pamoja na mbinu zake. Ni yupi unamkubali zaidi?
1. Sir Alex Ferguson - Man Utd
Huyu ametwaa mataji 13 ya...
EPL imetoa orodha ya makocha sita wanaowania tuzo ya kocha bora wa msimu. Makocha hao watapigiwa kura na mmoja wao ataibuka kidedea na kutangazwa hapo baadae. Wewe ungemchagua nani?
1. Pep Guardiola - Man City
2. Mikel Arteta - Arsenal
3. Eddie Howe - Newcastle Utd
4. Roberto De Zerbi - Brighton...
Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake.
Uzi...
Sina haja ya kusalimia,
Kama Manchester City tukifungwa na Arsenal naomba nipigwe ban ya mwaka mmoja.
WE ARE CITIZENS.
Moderator Moderator Mkuu @Mexence Melo Active naomba mnizingatie.
Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
Tutaje fist eleven ya EPL...
1. Alison
2. Tripier
3. Silva
4. Botman
5. Dias.
6. Caicedo
7. Salah
8. Debrune
9. Halland
10. Kane
11. Ivan Toney...
Ukiweza weka na mfumo kama ni 44 2 au 433..nk.
Nipo sehemu nimekaa napata kinywaji huku tukipiga story na washkaji.
Yaani kila saa tunajisahau na kumwambia meneja aweke Super Sport 223 tuangalie mechi za EPL.
Hii wiki ya International break kwakweli inaboa sana na kuchukiza kwa sisi wapenda kabumbu la EPL.
Kwakweli sijawahi kuwa muumini wa...
Tangu kuongoza kwa ligi na matokeo waliokuwa wakiyapata, kuna kina sisi ambao tulikuwa tunaona ni dharau sana kwa haka katimu kukalia usukani.
Anyway EPL ni mbio ndefu sana, tunategemea katakaa mahali panapostahili siku zote( Nafasi ya 3 ,4 au ya 5)
Arsenal hii siyo ya kuchukua ubingwa na kama...
Kama azam ikaingia UBIA na canal Sports KWA baadhi ya Chanel's za mpira wa ulaya itapata soko zaidi kuliko sasa.
Kwa soko la Tanzania DStv inawaumiza wapenzi wa soka KWA gharama kubwa Sana hivyo inapaswa ipewe ushindani Ili wananchi wapate huduma Bora.
Azam wanaweza pandisha vifurushi hadi...
Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za...
Wakuu wa jukwaa heri ya mwaka mpya.
Mnauonaje mwendo wa Arsenal kwenye mbio za ubingwa pale EPL.
Arsenal kama utani, anakimbiza mwizi kimya kimya, ligi ilivyoanza tukasema hafiki krisimasi atakuwa kashatoka kileleni.
Krisimasi pamoja na mwaka mpya umefika, naona kasi yao inazidi...
Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U.
Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
Aliyekuwa kocha wa Mamelodi Sundowns na Al ahly ameteuliwa na klabu ya Bournemouth kuwa mkurugenzi wa ufundi.
Awali ilisemekana "Mlete mdhungu fc" wana mpango wa kumleta kocha huyo mwenye CV iliyotukuka zaidi katika mpira wa bara hili 🤣🤣🤣 baada ya timu hiyo kumtimua kocha wao wa dunia Zolan...
The Premier League have announced that all of this weekend's matches have been postponed to honour Queen Elizabeth II following her death at the age of 96 on Thursday.
The FA confirmed all football across the country would also be called off, including the EFL and opening games of the new WSL...
Mourinho kafukuzwa mara mbili na Liverpool...jumla wanafika 6 sasa...hatari sana
1. Jose Mourinho -chelsea, Man U
2. Marco Silva - Everton
3. Fransesco Guidolin - Swansea
4. slaven bilic -west ham
5. slavisa Jokanovic -Fullham
6. scott Perker -bournemouth...
Hii list itaongezeka Tu Nani...
Goli la dakika 90 mfungaji akiwa ni Harry Kane wa Tottenham limekatisha furaha ya Chelsea ambapo limesababisha mechi baina ya timu hizo kumalizika kwa sare ya 2-2 katika Premier League, leo Agosti 14, 2022 kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
Kalidou Koulibaly na Reece James ndio waliofunga...
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Manchester United, ndivyo ilivyo kwa kocha mpya wa timu hiyo, Erik ten Hag, ni baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 dhidi ya Brentford, leo Agosti 13, 2022.
Huo unakuwa ni mchezo wa pili mfululizo kwa timu hiyo kupoteza katika Premier League msimu huu, ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.