Wadau karibuni tujaribu kuchambua uzuri na udhaifu wa marefa wa VPL na wale wa EPL. Kwa vile hapa nchini kumekuwa na malalamiko kuwa kuna watu wanabebwa. Pia huko EPL kumekuwa na malalamiko juu ya marefa licha ya uwepo wa VAR.
Tuanze na
1. Yupi refa bora Tanzania na England pia
2. Yupi...
Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson
Mzungu mwingereza.
Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu.
Leo hadi mwandishi mmoja kaenda.
Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo.
Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure...
Nimerejea tena kuitazama post yangu ya tarehe 2 June mwaka huu. Niliipa kichwa cha habari, "PEP GUADIOLA NI KOCHA WA KAWAIDAA MNOOO".
nilitoa mtazamo wangu kuhusu hyu kocha uchwara anae chukuliwa kama 50 cent wakati ana hadhi ya 20%
zimepita siku sabini toka niandike yale na nilipingwa sana na...
Baadhi ya shabiki wa 'kilabu' ya mpira wa miguu ya Aston Villa wameshikwa na hasira baada ya kupata habari kuna uwezekano wa mshambuliaji wa timu yao Mbwana Samatta kwenda kujiunga na timu ya Galatasaray ya Uturuki mwishoni mwa msimu 2019/2020.
Walirusha ujumbe wa kejeli na dharau kwenye kurasa...
Ukiangalia msimamo wa EPL mwaka huu Kuna dalili nzuri ya ASTON VILLA kusalia ligi kuu.
Nafasi ya:-
16.Westham -37 pts
17.Aston Villa-34 pts
18.Watford-34 pts
19.Bournemouth-31 pts
20.Norwich-21 pts
Sasa mechi za kufunga msimu ni:-
Arsenal vs Watford
Westham vs Aston Villa
Je, Watford atamfunga...
Habari ndiyo hiyo! Hatimaye Manchester City washinda rufaa yao kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao, lakini wamepigwa faini ya €10m
===
Manchester City's hopes of playing in next season's Champions League rest on the outcome of an appeal due to be announced at 9.30am this morning.
City were...
Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao.
Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280...
Wanajamvi, msimu huu team ya Liverpool imechukua ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza baada ya miaka 30 na ni mara ya kwanza tangia ligi hiyo ianzishe kwa namna tofauti kidogo na ilivyokuwa mwanzo.
Nimejaribu kutafakari ni yupi anastahili sifa katika hili nimeona si mwingine ni mwanaume wa Kijerumani...
Kanali mstaafu wa jeshi la mashabiki wa soka duniani anasema mashabiki wote wa mpira wa miguu duniani wasiposhangilia pamoja na shabiki wa Liverpool FC kwa kushinda taji la ubingwa wa Ligi kuu nchini Uingereza la msimu wa 2019/2020 unaweza kushitakiwa na kuhukumiwa adhabu ya kutoshangilia timu...
Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu.
Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao.
Cha muhimu...
Leo majira ya 13:30 Kwa muda wa huku kwetu, vilabu vya Ligi Kuu ya uingereza vinatarajia kufanya kikao kingne kwa njia ya video.
Huu ni mwendelezo wa vikao vngne ambavyo vimefanyika huko nyuma.
Miongoni mwa vitu vitakavyo jadiliwa ni pamoja na namna ya kuumaliza msimu wa ligi wa mwaka...
Mzuqa wanajamvi,
Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30.
Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa...
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Baada ya Sadio Mane kuporwa goli lake na VAR, eti paja sijui kwapa lake limezidi last defense line humu jukwaani na JF na mitandao mingine imekuwa kimya kabisa.
Mara ya pili hii VAR inasema mchezaji wa Liverpool FC amezidi mstari (ameotea).
Timu yao pendwa imetoka sare na kitimu kidogo. Jamaa...
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu ipi ni ligi bora kati ya la liga na EPL. Niseme kitu kimoja ambacho kinawachanganya watu ni vitu viwili: ushindani na ubora, watu wameshindwa kutofautisha both things.
Ligi ya Uingereza ni ligi ya ushindani lakini si bora, ukiangalia team kama Man U na...
Habari wadau wa michezo?
Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC.
Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to Red Bull Salzburg and Southampton prior to his Liverpool switch.
Mane, 26yrs old, has developed...