Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu Maudhui ya Mtandaoni za mwaka 2020, zilizofanyiwa marekebisho mwaka 2022.
Hatua...
Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited.
Uamuzi huo wa kuifuata kesi hiyo utolewa leo Jumanne, Septemba 10, 2024 na Naibu Msajili wa...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne, Septemba 10, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa na kampuni ya huduma za mawasiliano kwa simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwanahabari, Erick Kabendera...
Kama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani.
Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama watekaji hao ni Watu wa Serikali
Taarifa kamili hii hapa
---
Mchakato wa usikilizwaji wa kesi...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea katika kesi ya madai iliyofunguliwa na wanahabari, Erick Kabendera dhidi yake.
Katika kesi hiyo...
TANZANIA TUITATAKAYO
MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU.
MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya msingi, minne (4) sekondari ya awali na miwili (2) sekondari ya juu ni mingi kulinganishwa na...
Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana hatujui Kabendera atafungua Shauri la kudai fidia la aina gani. Je, ni la madhara ya kimadai? (Tortious Liability), je ni madhara ya kijinai? (Criminal Liability...
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019.
Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake Peter Madeleka.
PIA, SOMA:
- Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi...
Picha: Erick Kabendera
Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala, Ndugu Erick Kabendera, ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana .
Kabendera amefichua mbele ya Tume hiyo kwamba , kumbe siku zote Mahakimu...
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
====
Aliyoandika Kabendera
Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya...
Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
Erick Kabendera, Muandishi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kujihusisha na genge la uhalifu ambapo aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa mahabusu kwa miezi saba
Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema aliponyeka majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika...
Wanabodi,
Kwa vile sisi binadamu tuna uwezo tofauti, na sio watu wengi wanajitambua uwezo wao katika kitu kinachitwa "self realization", ikitokea unajitambua, na unapokasirika kwa kutotendewa haki, kwa kutwishwa misalaba ambayo sio yako, na ukiumia na kulaani watesi wako, na unajua nini...
Wakuu,
Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho.
Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi.
Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...
Kesi hii ya Uhujumu uchumi ambayo ilibadilishwa kutoka kwenye tuhuma za uraia leo imeshindwa kuendelea kwa vile Mh Hakimu ameamua kutokufika Mahakamani .
Imepangwa kuendelea tarehe 24 February.
======
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari wa Tanzania, Erick Kabendera...
Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo...
Katika chorus Roma amasema yupo Mungu wa kukufuta machozi.
Kabendera huko ulipo na akina Tito Magoti na wengine wenye maswaibu mbalimbali yanayowasibu ,jipeni moyo mkiwa magerezani,mahabusu, mahosptalini, majumbani. Mateso mnayoyapitia ni ya muda tu yatapita, Roma amasema wapo akina Meshack na...
Awali:
Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu.
Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu.
UPDATES
MAHAKAMA YAOMBWA KABENDERA KUMUAGA MAMAKE
HOJA SITA ZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.