Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019.
Amefariki akiwa Hospitali ya Amana alikokuwa akip
Soma pia: - Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae
- Mwanahabari Erick Kabendera...
Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera bado haujakamilika.
Kabendera anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kutakatisha Sh173milioni katika Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Hayo yameelezwa leo Jumatano Desemba 18...
Verdiana Mjwahuzi (81) ambaye ni mama wa mwandishi wa habari, Erick Kabendera amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kumsamehe mwanaye.
Akizungumza kwa huzuni leo Ijumaa Desemba 13, 2019 katika mkutano na waandishi wa habari, Verdiana amesema Kabendera ni mwanaye pekee anayemsaidia katika...
Jebra Kambole, wakili wa mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera ameijulisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mteja wake anataka kujadiliana na mkurugenzi wa mashtaka (DPP) namna ya kumaliza kesi inayomkabili.
Ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 11, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi...
Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika
Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha...
Kwanza kabisa niwape pole familia ya Kabendera, wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya Kabendera kwa upande wake,kwa kuwa wataonekana hawana ubinaadamu.
Lakini kama nchi, Kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana Rais atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna...
Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera amefikishwa Mahakama ya Kisutu leo
Anashtakiwa kwa makosa matatu chini ya sheria uhujumu Uchumi ambayo ni...
1. Kujihusisha na mtandao wa uharifu, 2015-2019 katika maeneo ya Dar Es Salaam aliongoza kundi la uhalifu kwa lengo la kupata faida au...
No end in sight as Tanzania’s ruling party CCM goes for ‘dissenters’
Saturday July 27 2019
Tanzania's President John Magufuli delivers a speech during a political rally on July 14, 2015 in Dar es Salaam. Ruling party CCM typically supports a sitting president’s bid for a second term. PHOTO |...
TAARIFA KUHUSU KUKAMATWA, KUWEKWA MAHABUSU NA KUHOJIWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI ERICK KABENDERA
Tarehe 29 Julai 2019, majira ya saa 11 jioni, watu wasiojulikana na waliovaa kiraia, walifika nyumbani kwa Erick Kabendera eneo la Mbweni Mpigi Dar, wakitaka kumkamata.
Hata hivyo...
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imefanya ukaguzi katika makazi ya mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera na kuchukua vitu mbalimbali ikiwamo paspoti saba za kusafiria.
Ukaguzi huo ulifanyika jana Jumatano Julai 31, 2019 nyumbani kwa Kabendera, Mbweni jijini Dar es Salaam nchini...
Nimejaribu kupitia maudhui ya kazi ya kijana Erick kujua kama anahusiana na timu ya wazee iliyotingisha chama juzi Kati na kubaini kuwa mtajwa Kuna viashiria kwamba alifanya kazi na chama Tena kwa uhaminifu 2015.
Labda yawezekana baada ya hapo aliamia kufanya shughuli zake binafsi na mashirika...
Kamanda Mambosasa anasema:
Erick Kabandera alikamatwa nyumbani kwake baada ya kukataa wito halali wa Jeshi la Polisi
Awali aliandikiwa barua ya wito ajili ya mahojiano lakini alikaidi kutii wito halali wa Polisi
Jeshi la Polisi likimwita mtu kwa hiari akikaidi, sisi tunamwezesha atii
Baada...
Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera anadaiwa kuvamiwa na 'watu wasiojulikana' nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam baada ya watu kadhaa wakiwa na magari kuvamia na kuzingira nyumba na kuzuia watu kuingia.
Namba ya gari lililomchukua imetajwa ni T746DFS.
Erick Kabendera, a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.