erick kabendera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 TCRA yailima Barua Jambo TV kwa kurusha taarifa za Tundu Lissu na Kabendera kuhusu shutuma kwa Tigo na Vodacom

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu Maudhui ya Mtandaoni za mwaka 2020, zilizofanyiwa marekebisho mwaka 2022. Hatua...
  2. Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  3. W

    Mahakama yaifuta kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited. Uamuzi huo wa kuifuata kesi hiyo utolewa leo Jumanne, Septemba 10, 2024 na Naibu Msajili wa...
  4. J

    Kesi ya kutekwa mwanahabari Kabendera, Mahakama kumaliza ubishi wa uhalali wake leo

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Jumanne, Septemba 10, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowekwa na kampuni ya huduma za mawasiliano kwa simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited katika kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwanahabari, Erick Kabendera...
  5. Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom yaanza rasmi leo

    Kama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani. Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama watekaji hao ni Watu wa Serikali Taarifa kamili hii hapa --- Mchakato wa usikilizwaji wa kesi...
  6. O

    Mwandishi Eric Kabendera aelezea jinsi Vodacom Tanzania ilivyomkamatisha kwa vyombo vya Usalama

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea katika kesi ya madai iliyofunguliwa na wanahabari, Erick Kabendera dhidi yake. Katika kesi hiyo...
  7. SoC04 Tanzania tuitakayo - mabadiliko katika sekta ya elimu

    TANZANIA TUITATAKAYO MABADILIKO KATIKA MFUMO WA ELIMU. MUDA WA ELIMU. Kupunguza MUDA unaotumika kwenye mfumo wa elimu wa sasa wa Darasa la kwanza hadi Kidato cha Sita. Miaka saba (7) ya elimu ya msingi, minne (4) sekondari ya awali na miwili (2) sekondari ya juu ni mingi kulinganishwa na...
  8. F

    Madai ya fidia ya dola milioni Moja ya Erick Kabendera dhidi ya Vodacom yakienda mahakamani tutarajie nini?

    Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana hatujui Kabendera atafungua Shauri la kudai fidia la aina gani. Je, ni la madhara ya kimadai? (Tortious Liability), je ni madhara ya kijinai? (Criminal Liability...
  9. Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake Peter Madeleka. PIA, SOMA: - Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi...
  10. Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

    Picha: Erick Kabendera Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala, Ndugu Erick Kabendera, ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana . Kabendera amefichua mbele ya Tume hiyo kwamba , kumbe siku zote Mahakimu...
  11. S

    Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

    Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana ==== Aliyoandika Kabendera Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze kutoa ushahidi. Wafanyabiashara mliopelekwa ofisi maarufu ya serikali, mkatishwa kwa mitutu ya...
  12. B

    Naomba nipingane na mwandishi Erick Kabendera kuhusu hoja ya kumtaka Mbowe aende KWENYE meza ya mazungumzo.

    Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
  13. Kabendera: Kulikuwa na majaribio mawili ya kuniua kabla ya kunikamata

    Erick Kabendera, Muandishi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kujihusisha na genge la uhalifu ambapo aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa mahabusu kwa miezi saba Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema aliponyeka majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika...
  14. Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

  15. Baada ya ukweli wa Erick Kabendera kubainika, wote walionituhumu kuhusika nimewasamehe kwani Mungu amewasamehe. Msirudie tena!

    Wanabodi, Kwa vile sisi binadamu tuna uwezo tofauti, na sio watu wengi wanajitambua uwezo wao katika kitu kinachitwa "self realization", ikitokea unajitambua, na unapokasirika kwa kutotendewa haki, kwa kutwishwa misalaba ambayo sio yako, na ukiumia na kulaani watesi wako, na unajua nini...
  16. Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Wakuu, Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho. Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi. Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...
  17. Danadana: Kesi ya Kabendera yaahirishwa kwa madai kwamba Hakimu kapata udhuru

    Kesi hii ya Uhujumu uchumi ambayo ilibadilishwa kutoka kwenye tuhuma za uraia leo imeshindwa kuendelea kwa vile Mh Hakimu ameamua kutokufika Mahakamani . Imepangwa kuendelea tarehe 24 February. ====== Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari wa Tanzania, Erick Kabendera...
  18. Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

    Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo...
  19. Wimbo maalum kwa wanaopitia mateso na majaribu magumu akiwemo Erick Kabendera

    Katika chorus Roma amasema yupo Mungu wa kukufuta machozi. Kabendera huko ulipo na akina Tito Magoti na wengine wenye maswaibu mbalimbali yanayowasibu ,jipeni moyo mkiwa magerezani,mahabusu, mahosptalini, majumbani. Mateso mnayoyapitia ni ya muda tu yatapita, Roma amasema wapo akina Meshack na...
  20. Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Awali: Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu. Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu. UPDATES MAHAKAMA YAOMBWA KABENDERA KUMUAGA MAMAKE HOJA SITA ZA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…