Mahusiano ya Rwanda na serikali ya Uingeleza, siku za nyuma yalikuwa mazuri.
Mwaka 2022, mwezi wa nne, enzi za waziri mkuu, Rishi Sunak, serikali zote zilisaini mkataba wa mamilioni ya Euro.
Baada ya waziri mkuu wa sasa kuingia madarakani, mkataba huo ulizikwa, na serikali ya UK ikaiomba Rwanda...
Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni.
Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na...
Serikali ya Ureno imepanga kuzinduzi sarafu mpya, CR7 Euro kumuenzi mfungaji bora wa timu yao ya taifa, Cristiano Ronaldo. Sarafu hii itakuwa ni ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa Ronaldo kwa taifa la Ureno.
Cristiano Ronaldo ndiye mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa ya Ureno, akiwa...
Baada ya kufunga magoli 900 na kuwa mwanasoka wa kwanza kufanya hivyo Cristiano Ronaldo amesema Timu yake ya Taifa kushinda Euro ni sawa na kushinda Kombe la Dunia tu, huku akibainisha kuwa tayari ameshinda mataji mawili akiwa na Ureno ambayo aliyataka sana.
Itakumbukwa Ronaldo Ronaldo...
Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD).
Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa?
Nini maoni yenu? Karibuni
Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki 100,000 unakadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4. Mpango huu umetokana na kuvuja kwa uwanja wa zamani...
Naam, ni Hakika!
Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024.
Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa...
Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024
Juni 29, 2024
Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku)
Germany Vs Denmark (4:00 Usiku)
Juni 30, 2024
England Vs Slovakia (1:00 Usiku)
Uhispania Vs Georgia (4:00 Usiku)
Julai 1, 2024
Ufaransa Vs Belgium (1:00 Usiku)
Ureno Vs Slovenia (4:00 Usiku)
Julai 2...
As we head into the final round of group matches, here is a small piece on what we have learned so far.The first round produced plenty of goals, 34 in total and majority coming from strikes just outside the penalty area ( zone 14), players demonstrating their immaculate technical proficiency of...
AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha.
Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini?
Au Euro ishaisha??
Anyway, imebidi nilipie DStv tu
Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani.
Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America.
Namshauri...
Wakuu bado Nina mashaka sana kama hii Euro itanoga maana hiki kituo huwa hakuna picha angavu kama za wenzetu dstv lakini pia kabla ya mechi tunaweza kosa uchambuzi uliotukuka wa mechi badala yake tutakuwa tunawekewa
Busati la mtoro mara msitu wa Jozani na historia ya mtume haya nadhani yanaweza...
The UEFA EURO 2024 final tournament is scheduled to take place from 14 June to 14 July 2024. As the host nation, Germany are seeded in Group A and will occupy position A1; they will therefore play in the opening match at the Munich Football Arena on Friday 14 June.
Predict the winner 🥇
'Microchip' ilitumika katika mfumo wa 'semi-automated offside decision-making' katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka jana nchini Qatar.
'Microchip' ndani ya mpira wa Adidas wa Euro 2024 itatumika kuwasaidia waamuzi kufanya maamuzi ya mpira wa mikono kwenye michuano ijayo ya majira ya joto...
Kutokana na ratiba ngumu na wachezaji kukosa muda wa kutosha kumpumzika imepelekea Baadhi ya wachezaji kuwa na kipindi kigumu ikiwemo majeraha wakati timu ya taifa Ina wahitaji na vilabu navyo vinawahitaji.
Barcelona itamkosa Gavi kwa msimu wote uliosalia kwa majeraha , na wanajiandaa kupeleka...
Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar.
Sufuria kuubwa lina supu mabichwa ya mbuzi, bandama, mikia, mapupu, ulimi
Linachemka Unapewa waya, unachomoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.