Ulishawahi kusikia bahati ya mtende au ngekewa? Au mtu baada ya kuharibu anapewa second chance! Ndio kilichowakuta Denmark mwaka 1992 katika michuano ya Mataifa ya Ulaya.
Michuano ya Uefa Euro mwaka 1992 ilipangwa kufanyika katika majira ya joto huko nchini Sweden. Ilikuwa ni michuano ambayo...
Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023.
Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026. Ufaransa wanavyo vipaji vya kila aina ikiwemo kijana machachari Mbappe. Muda utatupatia majibu.
Gari aina ya DAF XF EURO5 engine ya paccar inauzwa ipo separate kibini pamoja na chesesi, Engine inahitaji matengenezo.
TAJIRI anahitaji milioni kumi na tano(15) kwa mawasiliano piga namba +255 763 363 536, +255 683 067 976 Gari inapatikana DAR ES SALAAM, TANZANIA
Kibini ipo sawa kabisa ni...
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu, Mradi wa kuwezesha upatikanaji...
Habari wakuu nawasalimu,
Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India wakitaka kuanza kufanya miamala yote kwa pesa yao(rupee).
Je, hili linatafsiri gani kwa nchi za...
Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67.
Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa sawa na ruble 82, na mwanzoni mwa vita baada ya Urusi kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi, fedha yake...
Mfumko wa bei umegonga rekodi mpya katika nchi 19 za ukanda unaotumia sarafu ya Euro. Hali hiyo imesababishwa na ongezeko kubwa la bei ya mafuta kufuatia vita nchini Ukraine. Katika mwezi huu wa Aprili, mfumko wa bei umefikia asilimia 7.5 kiwango ambacho ni kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa tangu...
Ujerumani imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takribani Sh190.5 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi kadhaa ikiwemo maji, uendelezaji wa maliasili na utalii, afya ya mama na mtoto pamoja na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia.
Taarifa iliyotolewa na kitengo cha...
Habari zenu wana Jf, Husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba mwenye link ya Game la Euro bus Simulator 2 anisaidie au kunielekeza namna la kulidownload free.
Nawasilisha.
Habari wana members wa jamii forum, mimi ni mtengenezaji wa joystick za kuendeshea magali aina ya truck na Buss (SCANIA, DAF, IVECO,UTONG..... etc) natengeneza joystick kwa material ya mbao hili kuifanya kuwa imara na kudumu kwa kipind kirefu, tofauti na zile za dukan zenye material ya plastick...
Thousands of jubilant England fans gave up on wearing face masks and caring about social distancing in the fight against Covid last night as they poured out of Wembley following the Three Lions’ nail-biting Euro 2020 semi-final victory over Denmark.
More than 66,000 people packed the stands in...
Kuna mapinduzi makubwa kwenye soka la kileo kama ilivyodhihirika kwenye mashindano ya Euro 2020 mwaka huu. Timu bora si lazima ishinde na mara nyingi timu bora imekuwa ikizidiwa mbinu na kutupwa nje ya mashindano.
Jana timu bora sana ya Spain ilizidiwa mbinu na Italia na kutupwa nje!! Hali...
Yalipopangwa makundi ya michuano ya Euro 2020, kuna kundi liliitwa la kifo. Lilijumisha mabingwa wa dunia Ufaransa; mabingwa wa Ulaya watetezi Ureno; mabingwa wa kihistoria wa ulaya na dunia Ujerumani na Hungary.
Baada ya michezo ya makundi, Hungary akauwawa. Wakapona Ufaransa, Ujerumani na...
Mpaka sasa kuna penati 11 zimetolewa, lakini upigani wa penati bado ni tatizo sugu!! Zaidi ya nusu ya penati hizo hazikufungwa. Tatizoni nini? Je kikwazo ni umahiri wa magolikipa au ni mbinu mbovu za wapigaji wa penati? tujadili! Ukiangalia jkubwa wa majina ya wapiga penati usingetazamia wengi...
Timu ya Ureno chini ya nahodha Ronaldo itafanikiwa kutetea ubingwa wa mataifa ya Ulaya. Japo waliteleza kwa kujifunga mabao mawili dhidi ya Germany na yakawachanganya hadi kupoteza mechi hiyo, lakini kikosi chao kimekamilika sana.
Dalili kuwa watabeba kikombe itaonekana watakapocheza na kinara...
Economists, what does this mean?
That Kenya is reviewing the size of the economy later in the year.
Does it mean the GDP will jump to 150 - 200B?
More loans more project?
========
Treasury to rebase GDP after new Eurobond tap
Kenya has kicked off its fourth Eurobond offer with a promise to...
Salama wakuu,
Michuano ya Euro 2020 inategemewa kuanza hapo Juni 11 takribani wiki tatu kutoka sasa.
Michuano hii ilitakiwa ifanyike juni mwaka jana 2020 ila ilihairishwa kutokana na Corona. Hivyo Uefa ikaamua michuano hiyo ifanyike mwaka huu lakini iendelee na jina lilelile la Uefa Euro 2020...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.