Habari wana members wa jamii forum, mimi ni mtengenezaji wa joystick za kuendeshea magali aina ya truck na Buss (SCANIA, DAF, IVECO,UTONG..... etc) natengeneza joystick kwa material ya mbao hili kuifanya kuwa imara na kudumu kwa kipind kirefu, tofauti na zile za dukan zenye material ya plastick...