Kama Title ya thread inavyosema. Hii ni simple tutorial ya kuonesha jinsi gani utaweza kutumia modes mbali mbali katika game yako ya ETS 2.
Sometimes inafika stage kwenye hili game unakua kama umechoka zile barabara zake, magari yake, limitations pia katika kununua trucks hadi kufikia level...