Katika mitandao iliyojaa vilaza Facebook na Instagram ni no 1 kumbe ndiyo maana viongozi wnatumiaga Twitter maana huko ni harakati ila ukitaka umbea wewe jisogeze Instagram na Facebook.
Yaani takuta mtu amepost makalio yake, hujakaa sawa mtu kamuita mwenzie jina baya.
To be honest JamiiForums...
Mwanaharakati Stella Nyanzi aliyefungwa akielezwa kuwa alimtukana Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameachiwa huru huku Jaji akieleza kuwa alifungwa kimakosa
Msemaji wa Magereza, Frank Baine amesema Stella alirudishwa katika gereza alilokuwemo lenye ulinzi mkali kwenda kuchukua vitu vyake baada...
Fortune favours the bold and Ivy Kungu is one girl who decided to go after her fortunes from a tender age.
Born in Baltimore, Maryland, her everyday looks and creative makeup concept have made her a huge hit across all her social media platforms.
According to networthstats.com, the young...
Sioni wala siwezi Ku access Application ya Facebook kutisimu yangu. Tatizo nini?
Imepotea tu yenyewe na hats application list za kwenye simu haipo!
Tafadhali msaada kujua kwa nini and how
Mtandao wa kijamii wa Twitter umesema leo kuwa umezifuta akaunti 6,000 zilizokuwa sehemu ya juhudi kubwa ya serikali ya Saudi Arabia na watu binafsi ya kutanua maslahi ya kisiasa na kieneo ya taifa hilo.
Twitter imesema akaunti hizo zimekuwa zikisambaza maudhui ya kupigia upatu mamlaka za...
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa.
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa.
Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
Facebook yazifungia kurasa tatu kutoka nchini Urusi
Kampuni ya huduma ya mtandao wa kijamii, Facebook ilisema Jumatano kuwa imesimamisha mitandao mitatu ya akaunti za Kirusi ambazo zilijaribu kuingilia katika siasa za ndani za nchi nane za Kiafrika, akaunti zinazohusishwa na mfanyabiashara wa...
Two-factor authentication helps better protect online accounts from hackers. Facebook offers this security feature, too. But there's a catch.
In recent years, Facebook has woefully neglected the issue of data privacy and has found itself embroiled in a number of data scandals, such as when news...
Habari zenu wadau wa JF,moja kwa moja niende kwenye mada husika,kama tunavyojua na kufahamu kuwa Facebook ni moja kati ya mitandao ya kijamii muhimu sana katika dunia ya sasa,licha ya hivyo mtandao huu umekuwa ukitumia taarifa zilizo kwenye simu ya mtu hususani majina ya watu au namba za walio...
Habari za siku wadau
Na site yangu nataka niweke urahisi wa mtumiaji kulogin kwa facebook bila kuangaika kujisajili sasa nimeijaribu hii app ya Facebook nikitaka niifungue napata error hii
"URL Blocked: This redirect failed because the redirect URI is not whitelisted in the app’s Client OAuth...
Habari GT.
Najua wengi wetu hapa tuna tumia Facebook "either direct or indirect"
Kwa kipindi kifupi toka Facebook aongeze kipengele cha VIDEO kimeifanya kuwa sio sehemu salama kabisa kimaadili.
Kwa nini?
Kama umegundua sahivi ukijaribu kufungua video mfano labda ni sehemu ya taarifa ya Habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.