Idadi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania imeongezeka kwa kasi na kufikia 4.5 Milioni. Idadi hii imegawanyika katika makundi makubwa mawili,Kundi la kwanza ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa manufaa bila kuvunja Sheria,na Kundi la pili ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa...
AFISI mpya ya Kamishna wa Kulinda Data italinda maelezo kuhusu Wakenya yanayohifadhiwa na kampuni za kubwa za kiteknolojia kama vile Facebook, Twitter na Google, Immaculate Kassait ambaye ameteuliwa kushikilia wadhifa huo amewahakikishia wabunge.
Bi Kassait, ambaye kabla ya Rais Uhuru Kenyatta...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Leo nikiwa naendelea kusafu FB, mara nikapokea ombi la urafiki kwa binti mmoja. Mara baada tu ya kumkubali maongezi yalikuwa hivi.
Binti. Hi
Mimi. Hi mambo
Binti. Unapatikana wapi
Mimi. Napatikana Dar
Binti. Mimi napatikana Arusha ila nyumbani Dar.
Mimi. Okay. gud
Binti. Sikia basi nitumie elfu...
Kampuni ya Facebook imeshtakiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya watumiaji.
Facebook imekanusha tuhuma hizo na kueleza kuwa kulikuwa na hitilafu ya programu (bug) ambayo inairekebisha. Imesema kuwa ‘bug’ hiyo ilikuwa ikitoa taarifa...
Habarini wapendwa Kama kichwa Cha huu uzi kinavyojieleza kuhusu Facebook ads. Kwahivyo sisi tumeamua kukufundisha hii huduma kwa kupitia video zitakazo rushwa via WhatsApp messenger. Huduma itatolewa kwa gharama ya Tsh 1000/= na kutukua na full technical support.
Napatika kwa
WhatsApp no-...
Naona kuna wanakifanya kisomi sana, wanatupia nukuu za mh Magufuli za Kampeni ambazo zina ukakasi. Mfano mkichagua mpinzani mtajuta sileti maendeleo hapa. Nimefuatilia watu wanao komenti wapo very aggressive kwa Magufuli na 90% ya comments ni total Negative.
Hii ina maana gani, kiuandishi ITV...
Citizen TV’s Victoria Rubadiri wins BBC World News Komla Dumor award
Citizen TV news anchor Victoria Rubadiri has been announced as the winner of the 2020 British Broadcasting Corporation (BBC) News Komla Dumor award.
The win makes Ms Rubadiri the second Kenyan to win the award after her...
Habari wakuu.
Nina mpango wa kufanya live streaming ya webcam kwenye Facebook. Kwa hapa Tanzania kuna sheria yoyote kuhusu hili ama natakiwa kupata kibali au kilipia chochote kama ilivyo kwa Youtube? Ahsanteni.
Habari zenu wadau natumaini mko njema?
Ok kama niliposema hapo juu ni kuwa nina Account nimeiona na ilikuwa yangu ila kitambo sana na sijui ata nilifungulia namba ipi pia password yake nimesahau.
Na sasa hivi nina Account nyingine ila ninachotaka ile pale niweze kuingia mule na kuweza kuifuta...
Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday.
The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali.
Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
Simulizi : FACEBOOK IMEHARIBU MAISHA YANGU
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
SEHEMU YA 1
“"Reshmail Manyama want to be your friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu yalikutana nao nilipofungua mtandao wa kijamii wa ‘facebook’,sikumbuki kama nilijifikiria mara mbili kwani...
Hotuba ya Tundu Lissu, FULL TEXT:
KWANINI NAGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?
Wananchi na raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania popote walipo, ndani na nje ya nchi yetu;
Wanachama, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA);
Marafiki wa Jamhuri ya...
Rais Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo wa serikali kusimamia na kuibana mitandao ya kijamii. Amri hiyo inalenga kampuni zilizopewa ulinzi wa kisheria kupitia kifungu cha 230 cha Sheria ya...
Mmiliki wa Facebook (Instagram, WhatsApp na Facebook yenyewe) bwana Mark Zuckerberg amepingana na Twitter kuhariri tweets za watu na kusema wao hawahariri tweets za wanasiasa.
Mark amesema mitandao ya kijamii inapaswa kuacha kuwa polisi wa maoni ya watu. Twitter Facebook na mitandao mingine...
I just announced that we're launching Facebook Shops today – the basic idea is that any small business can easily start a shop to sell things directly across our apps. If you visit someone's shop, you'll be able to see that small business's story, see their featured products, and buy them in our...
Habari wakuu.
Kipindi hiki cha janga hili la COVID-19. Kimesababisha watu wajifungie ndani (lock down). Hivyo hata maeneo ya starehe yamepungua watu.
MaDJ wakubwa wakaamua kuanzisha group Facebook. Ambapo huko wamewekeana ratiba (schedule) week nzima. Kuanzia asubuhi mpka usiku mnene.
Mfano...
Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Manispaa ya Morogoro Awadhi Lugoya anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani morogoro kwa tuhuma ya matumizi mabaya ya mitandao kwa kufungua akaunti kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook inayofahamika kwa jina CORONA VIRUS TANZANIA na kutoa taarifa za upotoshaji za ugonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.