facebook

  1. May Day

    Facebook kiboko

  2. Sam Gidori

    Instagram kuwalazimisha wateja wanaojisajili kuandika umri wao kwaajili ya usalama wa watoto

    Sasisho jipya la Instagram linawataka wote wanaojiunga na mtandao huo wa kijamii kuandika umri wao, vinginevyo hawataweza kujiunga na mtandao huo. Hatua hiyo mpya ya Instagram haitawaathiri wote ambao wamekwishajisajili kwenye mtandao huo, lakini itawalenga wateja wapya wanaojisajili, ikiwa na...
  3. Miss Zomboko

    Urusi yatoza Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha milioni 36 kwa kukiuka sheria ya habari

    Mahakama nchini Urusi ilitoza kampuni za mitandao ya kijamii ya Twitter, Facebook na WhatsApp faini ya fedha rubles milioni 36 (Bilioni 1.1) kwa "kukiuka sheria ya habari ya kibinafsi". Kesi zilizowasilishwa na Wakala wa Teknolojia ya Habari ya Shirikisho la Urusi na Wakala wa Usimamizi wa...
  4. B

    Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Nilianzia kujifunza programming mwenyewe hapo dar. Nikapiga kazi online kwa miaka kadhaa (soma baadhi ya posts zangu). Leo asubuhi nimepata hii email.
  5. isajorsergio

    Facebook yazindua "tools" kuwasaidia Wananchi wa Afghanistan wanaofuta taarifa zao mtandaoni kwa hofu ya kukamatwa na Taliban

    Vipengele vipya vya usalama vimekusudiwa kusaidia Waafghan kufunga akaunti haraka na kupunguza nyayo zao katika mitandao ya kijamii. Alhamisi Facebook ilisema inaanzisha udhibiti mpya wa watumiaji kwa watu nchini Afghanistan ambao wanakimbilia kufuta nyayo zao za kidijitali kwa hofu simu zao au...
  6. Analogia Malenga

    Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

    Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria. Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na...
  7. Miss Zomboko

    Facebook yapiga marufuku maudhui kuhusu kundi la Taliban

    Mtandao wa kijamii wa Facebook inachukulia Taliban kama kundi la kigaidi na hivyobasi, inapiga marufuku maudhui yote yanayounga mkono Taliban katika majukwaa yao. Kampuni ya Facebook imesema timu ya wataalam wa Afghan inafuatilia na kuondoa maudhui yote yenye kufungamana na kundi hilo. Facebook...
  8. Android

    Tunatengeneza na kusimamia (ku manage) Social media accounts

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
  9. Ben Zen Tarot

    Sifa ya mabinti wa facebook

    1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K 2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?» 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype.. 4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi anakuwa offline. 5. Kawaida...
  10. je parle

    Picha kali za Instagram na Facebook ni tatizo kwa vijana wa leo

    Utandawazi umekuwa mkubwa sana. Vijana wanapenda kuwa inspired na vijana wenzao ambao kimuoneokano na picha nzuri za Photoshop wanazo-post mtandaoni na kuonyesha mafanikio fake yanavyo waharibu vijana wengine. Na kuhisi kama vile kila anaepost picha kali Instagram au Facebook basi amefanikiwa...
  11. beth

    Donald Trump awasilisha kesi dhidi ya Facebook, Twitter na Google

    Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kesi dhidi ya Kampuni kubwa za Teknolojia za Google, Twitter na #Facebook pamoja na Watendaji Wakuu wake kutokana na marufuku aliyowekewa Januari mwaka huu, Akaunti za Trump katika Mitandao ya Kijamii zilizuiwa kufuatia hofu ya Usalama wa...
  12. beth

    Google, Twitter na Facebook zatishia kuacha kutoa huduma Hong Kong

    Kiongozi wa Hong Kong amepuuza onyo na Kampuni kubwa za Teknolojia zikiwemo Google, Facebook na Twitter zilizosema zinaweza kuacha kutoa huduma katika Jiji hilo ikiwa Mamlaka zitaendelea na Sheria mpya ya faragha. Mamlaka zimeainisha mipango ya kupitisha Sheria mpya inayolenga kitendo cha...
  13. M

    CHADEMA someni maoni mitandao ya kijamii kwenye masuala yanayowahusu

    Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo. Ukienda kutazama post...
  14. Sam Gidori

    Ufaransa yaipiga Google faini ya Tsh bilioni 621 kwa kujipendelea katika mfumo wa matangazo ya Kidigitali

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa. Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
  15. Analogia Malenga

    Facebook yamfungia Trump hadi 2023

    Facebook imetangaza kumfungia aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump kutumia mitandao yake ambayo ni Facebook na Instagram hadi Januari 2023. Wamefikia hatua hiyo kwa madai kuwa Rais Trump alichochea ghasia zilizotokea Capito mnamo Januari 6, 2021. Aidha wamesema watakapomfungulia...
  16. Living Pablo

    Msaada wadau nahisi kuingiliwa kwenye Google account yangu

    Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona sms kibao kutoka Facebook ya mtu mwingine tena kila siku mwanzo nilikuwa nafuta nikiziona lakini now...
  17. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi ya ku-tangaza Biashara yako kwa Facebook (sponsered ads) - P.01

    Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema. To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
  18. Sam Gidori

    Huduma ya Intanet yarejea Ethiopia baada ya kuzuiwa mwishoni mwa juma

    Shirika linalofuatilia upatikanaji wa huduma ya intanet la NetBlocks limesema huduma ya intaneti kwa majukwaa ya Facebook, WhatsApp na Instagram imerudi nchini Ethiopia baada ya kukosekana mwishoni mwa juma. Taasisi ya Huduma za Habari ya Ethiopia na Kampuni inayomilikiwa na Serikali ya...
  19. Nyumbani Digital

    Vitu muhimu zaidi unapaswa kuvifahamu Digital Marketing

    Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
  20. Sam Gidori

    Facebook yaamua kutomfungulia Tump akaunti yake

    Facebook imeamua kutofungulia akaunti ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump baada ya kufungiwa kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu. Uamuzi huo unafuata baada ya Kampuni hiyo kuifungia akaunti za Trump za Facebook na Instagram kwa muda wa saa...
Back
Top Bottom