Ni mara chache sana mtu atapost facebook na instagram, inaweza kuwa mara 1 kwa mwezi lakini huku status za whatsapp mtu anaweza kupost kila siku maana hata watu wanaoziona ni wale aliowasevu na anaweza kuwachuja zaidi, pia hata watu watao like ama ku comment ni siri yake sio wazi wazi.
Mtu...
Kampuni mama ya Facebook Meta imesema itaanza kutoa maelezo hadharani kuhusu namna matangazo watu. Hatua hii imefikiwa ikiwa miezi michache kabla ya uchaguzi wa muhula wa kati nchini Marekeni.
Aidha, tangazo hilo linafuatia ukosoaji wa miaka mingi kwamba mitandao hiyo huzuia habari nyingi...
Takwimu zilizotolewa na Digital 2022 Global Overview Report zimeonesha mtandao wa kijamii wa Facebook ndio mtandao platform inayotumiwa na wengi
Mbali na matokeo hayo mtandao wa WhatsApp umeonekana kupendelewa na wengi katika kufanya mawasiliano ukilinganisha na platforms nyingine za...
Ni kama ugonjwa wa Uviko-19 umeanza kusahaulika miongoni mwa Watanzania na hivyo watu hawaoni tena haja ya kuchanja chanjo kujikinga na mafua hayo makali, jambo ambalo si kweli.
Kwa maneno mengine unaweza kusema kuwa watu wanachukulia poa ilihali maisha ya watu yanapotea.
Wapo wanaosikika...
TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi.
=====
DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara.
Mtu...
Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo,
Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa,
Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari sitofunguliwa Tena?
Pia nimejaribu kifungua açount nyngine mpya nayo wamelock vile vile
Mahakama mjini Moscow imepiga marufuku shughuli za Instagram na Facebook zinazoonesha "msimamo mkali" nchini Urusi, ripoti zinasema.
"Tunalikubali ombi la upande wa mashtaka la kupiga marufuku shughuli za [Instagram na kampuni mama ya Facebook] ya Meta," Jaji Olga Solopova alisema, kwa mujibu...
Kama ilivyo kwa YouTube pamoja na Blogs na website mbalimbali kuwa na kipengele cha Uvunaji kupitia Maudhui Mtandao hasa kampuni ya Google (Google Monetization) kwa kupitia Matangazo ya Google (Google AdSense)
Hivyo hivyo na Facebook mbioni kuanzisha Uvunaji mapato kwa waandaa Maudhui wa...
Mtandao wa Facebook unamilikiwa na kampuni ya Meta Chini ya Mkurugenzi wake Mark Zuckerberg.
Umefanya Maboresho kwa kubadili Rangi iliyokuwa ikionekana kwenye Hashtag na Mentions. Hapo awali Mtu akitumia alama ya # kama hashtag Yalikuwa yakitokea maandishi Meusi yenye mkolezo, lakini kwa sasa...
Kampuni ya Meta ambayo ni mmiliki wa Facebook na Instagram imelegeza sera yake dhidi ya machapisho ya chuki ili kuruhusu maneno ya chuki dhidi ya Urusi.
Katika tamko lao wamesema wataruhusu sentensi za chuki kama ‘Death to Russian Invaders’ lakini hawataruhusu maneno ya chuki dhidi...
Urusi imezuia matumizi ya mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya Meta Platforms Inc's (FB.O) nchini kwao kile kilichoelezwa kupishana katika masharti ya vitu vya kuweka mitandaoni wakati huu wa vita yao na Ukraine.
Maamuzi hayo yameongeza presha kubwa kwa vyombo vya ndani ya Urusi...
Leo ni siku ya 3 tangu nipumzike kutumia mtandao wa facebook ( nimediactivate my accont) nimeanza kuhisi kama naumwa, kweli hii mitandao ipo addictive ngoja nione nita-sustain kwa muda gani, sasa nipo JamiiForums nacheki wana wakishusha nyuzi za mtumbadi Putin
Mtandao wa Facebook ulio chini ya Meta umeboresha katika sehemu ya mazungumzo yake ya messenger. Ikumbuwe Messenger pia imeunganishwa na Facebook hivyo Mtu anaweza kuchati Messenger kwa kutumia Facebook au Messenger yenyewe.
Back to topic, Facebook wamefanya maboresho kwa jumbe za Messanger...
Wakimbizi kadhaa wa Rohingya waliopo Uingereza na Marekani wamefungua Mashtaka dhidi Facebook ambao wanaushutumu kuruhusu maneno ya chuki dhidi yao kusambaa
Wanadai Fidia ya Dola za Marekani Bilioni 150 wakisema Mitandao ya Kijamii ya Kampuni hiyo ilichochea ghasia dhidi yao. Pia Facebook...
Kampuni ya mtandao wa kijamii ya Trump yapata dola bilioni 1 kutoka kwa wawekezaji
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Mradi mpya wa Donald Trump wa mtandao wa kijamii umechangisha $1bn (£755m) kutoka kwa wawekezaji kabla ya kuorodheshwa katika soko la hisa.
Taasisi ya habari na teknolojia ya...
Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF
Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.