Imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wengi kufanya matangazo yao kwa ajili ya kuwafikia wateja wengi zaidi kupitia mitandao ya kijamii (Hasa hasa facebook na instagram ambayo ndio imekuwa inawatembeleaji wengi zaidi).
Nitaonesha hapa hatua kwa hatua namna ya...
Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule.
Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika...
Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA.
Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
Ndege ndogo ya abiria ilianguka kwenye bonde mkoani Pokhara, nchini Nepal, mapema jumapili. Ndege hii ilikuwa imebakiza sekunde 10 - 20 ili itue kwenye kiwanja kipya cha Pokhara kilichozinduliwa wiki 2 zilizopita.
Mpaka hivi sasa watu 68 kati ya 72 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki dunia...
Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram.
#META imeunda timu ya Wafanyakazi wa Sera za Umma na Mawasiliano pia, kuna timu ya Maudhui ambao watajadili na kuamua kuhusu suala...
Habari!
Mwaka jana nilizungumza kitu kuhusu hawa comedians jinsi wanavyotisha. Wachekeshaji wetu waache kupoteza muda kuropoka.
Mimi wachekeshaji wetu wanabiboa, kazi yao ni kuropoka majukwaani tu, wakizidi zaidi basi wataiga kazi za wenzao. Hawana ladha kabisa.
Soko lao linaishia ndani tu...
Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa kwa kupigwa risasi baada ya kushambuliwa mtandaoni kutokana na alichokiweka kwenye ukurasa wake wa...
JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni.
Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho hapa JamiiForums imekuwa ni rahisi kuonywa kwa kupewa makavu laivu, tabia zako na mambo yako ya hovyo...
Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook.
Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia ikasababisha Facebook kusitisha habari za nchi hiyo kwa muda mwaka 2021
Meta inaeleza kuwa vyombo vya...
Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku chache zilizopita japokuwa email address na password nimetumia kurejesha but sina access yoyote...
Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi.
Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3 ya mwaka mapato yameshuka kwa 46% sawa na Tsh. Trilioni 13.
Wafanyakazi walioathiriwa watalipwa...
Mtuhumiwa huyo Ooi Chuen Wei, 37, ni Mwanaume ambaye alikuwa na utambulisho wa bandia katika mtandao huo amekutwa na hatia ya kuwadanganya wanawake na kuwashawishi wamtumie taarifa zao ikiwemo picha za sehemu zao za siri.
Ooi Chuen alikuwa akiwasiliana na Wanawake na kuwatumia fomu ya ujaza...
Taarifa kutoka mtandao huo zinasema walibaini Apps zaidi ya 400 za udukuzi kwenye Play store ya Google inayotumiwa na vifaa vya Android na App Store ya vifaa vya Apple zinazoiba Taarifa Binafsi za wateja.
Msemaji wa META, Gabby Curtis ametaja taarifa zinazohusishwa na udukuzi ni pamoja na...
Ndugu zangu habarini za asubuhi.
Jamani nahitaji msaada jinsi ya kufuta account yangu ya FB, lakini nimesahau Pasword na nime-log out muda tu.
Nimejitahidi sana kuomba Pasword Lkn imekuwa changamoto, Ule msimbo hautumwi. Nimeomba kila siku ndani ya siku 25 lkn imeshindikana.
Hata sijui ni...
Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake.
Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu.
"Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri nini nifanye ku-Fix hili tatizo tafadhali anisaidie.
Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote?
Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
Wanajamvi naomba msaada:
Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock account hii ni lazima nipokee code kupitia simu ambayo niliiweka kwenye account ya facebook, bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.