Serikali imeitoza kampuni ya META faini ya Dola za Marekani Milioni 220 (takriban Tsh. Bilioni 583.8) ikiwa ni baada Mitandao ya WhatsApp na Facebook kukutwa na makosa ya ukiukwaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Haki za Wateja
Taarifa ya Tume ya Ushindani na Ulinzi wa Haki za Walaji...
Habari wakuu,
Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo.
Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu.
Kilichonishangaza zaidi...
Jamani habari za leo,
Naombeni msaada. Akaunti yangu ya Facebook imekuwa hacked na vijana wa kenya. Nahitaji kuirudisha ila nashindwa kwani wamekwisha reset password!
Natanguliza shukurani!
Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni
Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana
Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi...
Unakuta picha ziko vizuri kabisa kiasi kwamba mtu hadi unajiuliza mbona kama muonekano na Bei haviendani. Unakuta chombo inauzwa 800,000, arafu muuzaji anasema chombo Ina documents zote. Na unakuta ni ofisi kabisa ya kuuza pikipiki used. Binafs mashaka yangu ni Bei zao.
Kwa wajuzi naomba kujua...
Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote
Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.
Hajui chochote kuhusu business.
For your information Facebook is more better in business than instagram.
Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram.
# Facebook...
Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto.
Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta?
Jana nime mu add dada mmoja, aisee...
Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni.
Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
facebook
habari
haya
hii
kijamii
kuhusu
mabadiliko
mabadiliko ya sheria
makundi sogozi
mapya
meta
mitandao
mitandao ya kijamii
mtandao
sheria
sheria ya mitandao
taarifa
ukweli
whatsapp
Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya.
Kampeni hiyo inatarajiwa...
Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook.
Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook
Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa
Kuna kitu...
Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko.
So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu.
Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza.
Karibuni.
Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login
Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.