Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest

Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k.

Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
 
Weka post zote lazima admin azimoderate. Lakini hapo itabidi admins muwe angalau 10. Waweke wengine ata kama sio admins wakuu wawe moderators. Post ikiingia wanaikagua ndio wanaiaccept.
 
we badala ya kuwageuza hao wanachama upige hela unalalmika wauzie hata dawa za nguvu za kiume na limbwata
 
Back
Top Bottom