Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako??
Kwenye wateja namaaanisha
Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
Wadukuaji wanaiba account za wengine kufanyia shughuli ambazo wanaogopa kuzifanyia kwenye account zao au ndugu zao, shughuli hizi ni:
kuposti picha / video za uchi,
kuposti linki kwenye magroup
kuziuza account,
kuweka link na kuwatag marafiki
kutapeli
kutukana / kudhalilisha watu maarufu,
n.k...
Kwa mujibu wa kesi hiyo inadaiwa kwamba Meta ilihusika katika 'mpango wa kutumia watumiaji watoto wa mitandao hiyo kwa faida' kwa kuwadanganya kuhusu vipengele vya usalama na upatikanaji wa maudhui yenye madhara, kukusanya data zao na kukiuka sheria za shirikisho kuhusu faragha ya watoto...
Kwenye laptop niliyokuwa ninatumia kukiandaa, nilikuwa nimetengeneza Folder maalumu kwa ajili ya kazi hiyo.
Ndani yake nilijaza screenshot ya hatua zote (muhimu) ambazo mtu yeyote (beginner) anaweza akazifuata na kuishia kutengeneza matangazo ya Sponsored ads yenye matokeo mazuri.
Ila kila...
habari zenu ndugu zangu wa ukoo wa jf!
Facebook sasa naona visa haviishi, mimi siwaelewi
Juzi kati hapa walifunga account yangu wakidai kwamba waliona shughuli isiyokuwa ya kawaida kwenye account yangu (kwa mujibu wa maelezo yao)
Nikasema hivyo tu, nikarudisha akaunti yangu nikatembelea...
Kuna rafiki yangu anasema account yake ya facebook wameibadili password na email aliyotumia kufungulia...ila anasema wahuni walianza kuingia na kupost vitu vya ajabu hapo awali kabla hawajambadilishia hizo taarifa zake.
Anaomba msaada namna ya kurudisha account yake kwani alishaizoea na ina...
Hello keyboard warriors,
Imekuwa kawaida sana kusikia kauli kama "Bado unatumia Facebook?" pale mtu anaposhika simu yako na kuikuta hiyo app.
Binafsi mtandao wangu pendwa wa muda wote ukitoa JamiiForums ni Facebook.
Kwanini wewe hutumii Facebook ilhali watu maarufu wote wanautumia na...
Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (BoZ) aliyethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo, amewataka Wananchi kutojibu ujumbe wowote utakaotumwa kutoka kwenye akaunti hiyo hadi hapo Umma utakapoarifiwa kurejeshwa kwake.
BoZ imesema "Tunasikitika kuufahamisha umma kuhusu tukio la...
👋
Juzi morng nilikuwa ndio nimefika DSM nikachukua usafiri kwenda nyumban sasa nikiwa kwenye usafir mbele alikuwa maeekaa mama wa makamo nahisi alikuwa kwenye miaka 40 hivi.
Sasa alikuwa Facebook yupo messenger anachat na jamaa niliangaza macho kuona ase jamaa ana mwambia kuwa nakupigia video...
Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote.
Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri.
Maisha kusonga tukiwa...
Matajiri wawili Duniani, Bwana Elon Musk na Mark Zuckerberg wamekubali kuzichapa kavu kavu kwenye ulingo uliofungwa, caged match siku zijazo mjini Nevada.
Binafsi natabiri Elon Musk kumfumua Mark kwa KO.
---
Mr Musk posted a message on his social media platform Twitter that he was "up for a...
Jeshi la Polisi la Afrika Kusini limethibitisha kutokea kifo cha mpelelezi huyo mkongwe anayefuatilia kesi ya Thabo Bester anayetuhumiwa kwa mauaji na ubakaji akijulikana kwa jina la “Mbakaji wa #Facebook"
Muda mfupi kabla ya kufikwa n amauti, Brigedia Jackson Mkhaulesi (59) alihudhuria...
Hii ni kwa wafanyabiashara au watu wanaotangaza biashara zao kwa platform za Meta (Facebook na instagram).
Kumekuwa na huduma nyingi sana haswa instagram, Kuna vijana wanatangaza huduma ya kufuta madeni ya Facebook na instagram, na wengine kucharge hadi sh. 50,000 kwa account moja. Nataka...
Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) inayosimamia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutoka Nchini Ireland (DPC) imechukua uamuzi huo baada ya META kukiuka agizo la kutohamisha #Data za watumiaji wa #Facebook kwenda Marekani.
DPC ilitoa miezi 5 kwa #META kusitisha uhamishaji wa Taarifa Binafsi za Watumiaji...
Kampuni ya Meta ambayo inamiliki mitandao hiyo imebainisha kuwa watumiaji wenye Tiki ya Bluu watalazimika kulipa Dola 11.99 (£9.96) kwa mwezi au Dola 14.99 kwa watumiaji wa iPhone
Huduma hiyo itaanza kupatikana wiki hii kwa wateja wao wa Australia na New Zealand ambapo Mtendaji Mkuu wa Meta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.