VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

petr15

Member
Joined
Aug 25, 2025
Posts
38
Reaction score
35
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

Screenshot_20250901-152444_Google.jpg

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
 
PIA,Huyu muhuni sana APUUZWE SANA MWIZI SANA

Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!

Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni kuhadaa watanzania!

Polepole Huna kabisa Legitimacy ya kutudanganya

Mmeteka mmeua mmeshambulia,

Wangapi umekuwa unakula pesa yao Kwa ahadi ya Kuwahamisha vituo vya kazi kutoka Mara? Na kuwaahidi Vyeo!?
Tunatakiwa Kuelewa kwamba Nchi ni yetu sote
#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#kurayakwanzakwasamia🇹🇿🇹🇿
 
Ndo unamjibu hapo wacha weer
Kwa mujibu wa balozi polepole ni kwamba " JAKAYA MRISHO KIKWETE akishirikiana na wanamtandao,ndiyo waliopanga njama za kumua JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI " Anathibitisha balozi.
Baada ya kifo chake samia anakamatwa na wanamtandao wakiongozwa na rostM Azizi kumbuka DP world nk
Kumjibu huyu bwana inabidi ujianfe siyo kuandika porojo mara meli,mara samia na upuuzi mwingine tena ukitymia maji a bandia
 
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Haya ndiyo majibu ya hoja zake au tusubiri majibu yanakuja?
 
ccm wote ni wezi!
 
Acha kuwa kubwa jinga mkuu! Taarifa za kuhujumiwa aliyekuwa raisi wa awamu ya tano na jk zipo kule idara ya usalaama wa taifa na wanajuwa kila kitu polepole amesema bila wasiwasi nyiwe wana mtandao ni majitu makatili katika taifa letu na mjue novena ilishaanza kufanya kazi yake
 
Fitna tu! Haisaidii! Mtazidi kuumbuka
 
Lucas Mwashambwa mbona umepotea! Kuna machawa wapya wanachukua nafasi yako.
Kajifanyia "Reincarnation " kajiua na kuzaliwa kivingine... Naona Kuna maelekezo yametoka Masaki kuwa "user names" za zamani zinapingana na kinachotakiwa kusemwa sasa hivyo ndiyo unaliona hilo wimbi la hizo akaunti Njuka (New comers)
 
Kenge wa maziwa wewe, Nina hakika cheti chako Cha Kidato Cha Nne, kina F 6, D 3
Mkuu Haina haja ya kuwwatukana ila we jua tu wanajitokeza wale kikundi Cha kihuni wanamtandao...angalia joined yake ndio utaelewa...ukiona hivyo ujue Kuna mahala wameguswa kwenye makende
 
Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao!
Na awamu hii ya 6 watekaji na wauaji ni akina nani??
 
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Unatufunguwa masikio wananchi.Endelea kutupa habari za uhakika huyo polepole ni fisadi Papa,na ana wenzake,wake nyuma yake,wamej8ficha.
 
Polepole hawezi kua mwizi alikua na ujinga wake kipindi cha awamu 5. Still polepole bado ni kijana bora kuzidi vijana wengi vijana wengi wamekua mashoga kwasababu ya kupenda vitu rahisi na kua machawa kwasababu vijana hampendi kufanya kazi halali mnapenda shortcut mmekua watumwa wa wanasiasa wakati hao ni waajiliwa wa wananchi. Tunapenda kuona kizazi Jeuri cha kuhoji sio kile cha ndio bwana mkubwa by JK Nyerere polepole yuko kwenye kizazi Nyerere alichopenda Wewe uko wapi katikati vizazi nilivyoviweka hapo. Mlamba makalio ya wanasiasa au kizazi cha kuhoji? all in all Tanzania ni itandelea kuwepo kizazi na kizazi tusiruhusu rasilmali za nchi zikwapuliwe na wachache
 
Acha kuwa kubwa jinga mkuu! Taarifa za kuhujumiwa aliyekuwa raisi wa awamu ya tano na jk zipo kule idara ya usalaama wa taifa na wanajuwa kila kitu polepole amesema bila wasiwasi nyiwe wana mtandao ni majitu makatili katika taifa letu na mjue novena ilishaanza kufanya kazi yake
Slow slow ni fisadi papa
 
Back
Top Bottom