VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Hoja zake zijibiwe majibu halisi,na sii kwa hoja za kisiii hasaaa
 
Screenshot_20250901-180018.jpg

Yaani kundi la mtandao linatapatapa ku-recruit chawa wapya but dude it's too late, tuko na Polepole mpaka mwisho wa hivi vita.
Mabaya yake yatakuwa topic tukishamalizana na wahuni wanamtandao.
 
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Jipuuze mwenyewe wewe ndiyo muongo yote yaliyotendeka kipindi cha marehemu magufuli yana Baraka za mama yako kwani alikuwa makamu wa Rais na mshauri wa magufuli, polepole kawashika pabaya hata mfungue nyuzi milion hamtoboi hamna pa kujificha, visingizio vyako si kigezo cha polepole kuwaongelea waliopo Hai na madhambi yao , utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo chadema, Rostam Aziz Angela kiziga kuiba Rasilimali za Nchi unataka polepole akae kimya juu ya vitendo haramu vya kishetani?
 
Kumbe kichwa chako hakielewi kwa kuambiwa au kusoma. Bali huelewa vema kwenye picha au michoro.
Mimi na wewe asiyeelewa ni nani?

Unajua kusoma kwa ufahamu au kwenye somo la fasihi ulikuwa unasinzia darasani?
 
PIA,Huyu muhuni sana APUUZWE SANA MWIZI SANA

Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!

Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni kuhadaa watanzania!

Polepole Huna kabisa Legitimacy ya kutudanganya

Mmeteka mmeua mmeshambulia,

Wangapi umekuwa unakula pesa yao Kwa ahadi ya Kuwahamisha vituo vya kazi kutoka Mara? Na kuwaahidi Vyeo!?
Tunatakiwa Kuelewa kwamba Nchi ni yetu sote
#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#kurayakwanzakwasamia🇹🇿🇹🇿
Wewe ndiyo muhuni utapuuzwa wenye Akili Timamu wapo na polepole kwani wanajua mama yako alikuwa makamu wa Rais na Mshauri wa magufuli mabaya yote alishiriki na sasa kawa Dikteta mkoloni kaburu amezidisha unyama anateka anaua anawabambikia kesi za uongo chadema, anawakumbatia Wezi Rostam na Genge lake anafuja pesa za walipa kodi kukigharamia chama mchepuko wa ccm Chauma Ubwabwa , kumlipa Mbowe mabilioni aibomoe Chadema
 
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Joined August 25, 2025
 
ibilisi milion wa ccm vs polepole mmoja anawapiga KO hata wafungue Nyuzi bilion hawamwezi polepole kwa wenye Akili Timamu wanaujua Ukweli
 
Hivi 2014
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Magufuli alikuwa rais!! Upumbavu muache. Jibuni hoja za hpp
 
Hoja zake zijibiwe majibu halisi,na sii kwa hoja za kisiii hasaaa
ibilisi wa ccm hawawezi kumjibu polepole kamwe wengi ni wajinga jinga wanaoshinda kuokota posho kwa Angela kiziga na Rostam Aziz wezi wa Rasilimali za Nchi
 
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Huna hadhi ya kumjibu pole pole
 
NG'ombe wa mama ww
 
NO REFORM NO ELECTION
 
Kipindi cha Magufuli nchi yetu ilikuwa shwari hata kama kulikuwa na ukandamizwaji wa haki , kwa Samia leo hii kuna ukandamizwaji wa haki, pia kuna uhuni mwingi ambao kila mwenye akili ameona Tanzania inaelekea pabaya sana .
 
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Mkuu tukifukuwa makaburi Mjomba Magu akiwa waziri Ujenzi waliaagiza meli ndogo MV Bagamoyo mwendo kasi,na ili iwe na kasi ilitakiwa ijengwe hull yaani umbo kwa Aluminium badala ya chuma.Kwani Aluminium ni nyepesi kuliko chuma.
Lakini ilipoletwa ikaonekana imejengwa kwa chuma ambacho kwanza ni bei rahisi kulinganisha na Aluminium, lakini pili chuma nzito sifa za mwendokasi zikafifia.
MV Victoria ukiangalia kelele zilizokuwa zinapambwa kwa kifupi ni masikitiko.
 
HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!

Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!

View attachment 3461324

We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Angalao huko mtaani unaweza kupata wajinga wachache wa kudanganya lakini kwa hali ilivyo, humu JF unaweza kumbagaza nani. Unajizima data.
 
Back
Top Bottom