Siku zote ulikuwa wapi kueleza wizi na uongo wake?HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!
Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!
View attachment 3461324
We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Wameanza kujivua chupi kumbe CCM ndiyo watekaji lakini pole pole atawajibu vizuri hata humu jf yumommepewa kazi ngumu sana
Mimi nadhani kwa sasa Polepole anaeleweka vizuri kuliko nyinyiHUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!
Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!
View attachment 3461324
We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
HhaahSiku zote ulikuwa wapi kueleza wizi na uongo wake?
Wala haita wasaidia chochote, hayo ya hovyo yakutungaMauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni kuhadaa watanzania!
Polepole Huna kabisa Legitimacy ya kutudanganya
Mmeteka mmeua mmeshambulia,
Wangapi umekuwa unakula pesa yao Kwa ahadi ya Kuwahamisha vituo vya kazi kutoka Mara? Na kuwaahidi Vyeo!?
Tunatakiwa Kuelewa kwamba Nchi ni yetu sote#haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. ..
Mkuu Kwa kuwa Wale aliofanya nao uovu Polepole na wao bado wako madarakani kwrnye nyazifa zao mbali mbali ebu wataje wote. Usimtaje Polepole pekee. Ili ueleweke vizuriMauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
Unakumbuka Mpango wako mkiipeleka Meli Mv Victoria Kagera Mwaka jana wakati wa Kampeni ukiwa na akina Petro Magoti, acheni kuhadaa watanzania!
Polepole Huna kabisa Legitimacy ya kutudanganya
Mmeteka mmeua mmeshambulia,
Wangapi umekuwa unakula pesa yao Kwa ahadi ya Kuwahamisha vituo vya kazi kutoka Mara? Na kuwaahidi Vyeo!?
Tunatakiwa Kuelewa kwamba Nchi ni yetu sote#haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. ..
Mkuu umesoma ulichokiandika kweli? Yote kwa yote kazi yako ngumu sana [emoji3][emoji3]Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5