M mkata uzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2025 Posts 3,253 Reaction score 9,736 Sep 18, 2025 #1 Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
T Teknocrat JF-Expert Member Joined Oct 20, 2018 Posts 8,472 Reaction score 17,249 Sep 18, 2025 #2 Kaa hukohuko....