Habari waugwana wa humu, je salama!?
Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya vitu lazima nikutane nayo.
Je, naomba nataka niwaambie Facebook waifute nifanyeje msaada wenu
Facebook itafuta alama za Sura (Faceprint) za Watu zaidi ya Bilioni moja baada ya kutangaza kuwa itaacha kutumia mfumo wake wa utambuzi wa Sura (Facial Recognition).
Kumekuwa na shinikizo la kisiasa na kisheria dhidi ya Mtandao huo wa Kijamii kutokana na wasiwasi unaozunguka matumizi ya...
Sijui kwanini facebook alikurupuka kutengeneza logo ambayo kumbe ni ya kampuni nyingine.
Hawa watu wanamsubiria kutambulisha na kumfungulia kesi waje kumfilisi.
Hivi karibuni facebook walitangaza kuwa watabadili jina.
Leo wametangaza jina lao jipya kuwa ni Meta.
Meta ilikuwa initiative ya mke wa Mark, leo Facebook imebadili jina na kujiita Meta. Nguvu ya mapenzi hii.
Karibu meta.
---
Facebook has changed its corporate name to Meta as part of a...
Hii inaitwa kukurupuka na kukosa watu walio serious kwenye uandaaji na utetezi wa kesi ya jinai. Kwa mahakama zilizo huru na ambazo zinajitegemea kilichofanywa na shahidi wa pili kinatosha kumfunga au kutaka Chama cha mapinduzi kinachotuhumiwa kutumia Polisi na wanachama wa chama hicho...
Habari za humu wadau natumaini ni wazima kwa ambao awapo vizuri kiafya ama majanga tuendelee kuwaombea heri wamalize mwaka huu salama
Jukwaa hili sijaingia muda mrefu sana nilipata mambo mengi kupitia hapa ya kiufundi kipindi nafanya blogs nawashukuru wote ambao siku mliekuwa mnatoa michango...
Facebook Inc. imepanga kubadilijina ili kuendelea kushikilia soko la mitandao ya kijamii.
CEO na Mmiliki wa kampuni hiyo, Mark Zuckerberg amesema atalitaja jinajipya Oktoba 28 katika mkutano mkuu wa mwaka wa kampuni.
Facebook imesema haitajibu masuala ya uzushi yanayoenezwa dhidi yao.
===...
An undated image of Samuel Mwaniki. FACEBOOK
Two Kenyans emerged victorious in the 2021 Community Accelerator Program initiated by Facebook.
In a statement dated Tuesday, October 5, Facebook announced that Samuel Mwaniki, a teacher, as well as doctor Wala Amakove, the medic behind Wanderlust...
Tatizo lililo kumba kampuni ya facebook
Je, tatizo lilikuwa lipi?
Kwa ufupi, mifumo ya facebook ilishindwa kuwasiliana na mtandao duniani.
'Ni kama ambaye kuna mtu aliyeaathiri nyaya za kampuni hiyo katika kituo kikuu cha kutoa data na kuzitengenisha na intaneti' , ilielezea kampuni ya miundo...
Mfanyakazi wa zamani wa Facebook, Frances Haugen amewaambia Wabunge Nchini Marekani kuwa App za Kampuni hiyo kuleta athari kwa Watoto.
Facebook ni Mtandao wa Kijamii unaotumika zaidi duniani, ikiwa na watuamiaji wapatao Bilioni 2.7 kwa mwezi. Mamilioni ya watu pia hutumia WhatsApp na Instagram...
Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
Historia ya kuanzishwa kwa mtandao wa Facebook
Tovuti ya Facebook ilizinduliwa tarehe 4 Februari 2004 na Mark Zuckerberg pamoja na wenzake wa Chuo Kikuu cha Harvard yaani Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz na Chris Hughes.
Waanzilishi awali walikuwa wachache na kufanya...
Mkurugenzi mtendaji na mmiliki wa Facebook ametangaza kurudi hewani kwa mitandao hiyo ambayo ni Facebook, WhatsApp, instagram na messenger ambayo inamilikiwa na facebook.
Mark Zuckerberg amesema mitandao hiyo imerudi hewani saa moja lililo pita na kuwaomba radhi watumiaji wake kwa kusema anajua...
Baada ya kukosekana kwa saa kadhaa kwa mitandao ya Facebook, WhatsApp, messanger na Instagram, mkurugenzi Mkuu wa Facebook ambayo ndio inamiliki mitandao tajwa
Bwana mark Zuckerberg amepoteza zaidi ya Tshs. Trilioni 13.8 na kupelekea kushuka mpaka nafasi ya 6 ya mtu tajiri duniani akitoka nafasi...
Kwa muda mfupi wa mitandaao hi ya kijamii kusumbua wate wengi wamekwama katika shughuli zao nyingi. Mfano mshijai wangu kazini kwako kila kitu ni kwenye group la whatapp la job sasa jioni nii mtandao hakuna ndio kama likizo kwake,, Je kama ikichukua muda mrefu halii hii tutaimudu?
Watoto wawili mapacha wamefariki dunia baada ya kuporomoka kutoka ghorofa ya kumi wakati mama yao akijivinjari LIVE katika mtandao wa facebook.
Mapacha hao Moise Petrice wa kiume na Beatrice Petrice pacha wa kike wamekumbwa na umauti huo baada ya kudandia katika dirisha lililokuwa wazi. Tukio...
Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao
Tume ya Ulinzi wa Data ya Ireland imesema imebaini ukiukwaji katika namna ambayo WhatsApp ilielezea jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.