Habari zenu wadau wa JF,moja kwa moja niende kwenye mada husika,kama tunavyojua na kufahamu kuwa Facebook ni moja kati ya mitandao ya kijamii muhimu sana katika dunia ya sasa,licha ya hivyo mtandao huu umekuwa ukitumia taarifa zilizo kwenye simu ya mtu hususani majina ya watu au namba za walio...