fadhili liwaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge, Liwaka: Wako wenzetu wameichagua Siasa kupandikiza 'maumivu' kwenye Masikio ya Vijana

    Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Fadhili Liwaka, amesema kuna Wanasiasa wengine nchini wameichagua siasa kuyatia masikio ya vijana kauli zenye "maumivu", badala wajikite katika kutoa kauli za matumaini zinazolenga maendeleo. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Vijana...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nachingwea, amfananisha Rais Samia na Nabii Yoshua wa kwenye Biblia

    Wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Nachingwea, Fadhili Liwaka amerejea kwenye Biblia, akielezea safari ya Wana wa Israel kutoka kwa Nabii Musa hadi Nabii Yoshua akiifananisha na safari ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu. Akanukuu Yoshua 1:6: “Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana...
Back
Top Bottom