Mbunge wa Nachingwea, amfananisha Rais Samia na Nabii Yoshua wa kwenye Biblia

Mbunge wa Nachingwea, amfananisha Rais Samia na Nabii Yoshua wa kwenye Biblia

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Nachingwea, Fadhili Liwaka amerejea kwenye Biblia, akielezea safari ya Wana wa Israel kutoka kwa Nabii Musa hadi Nabii Yoshua akiifananisha na safari ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu.

Akanukuu Yoshua 1:6: “Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa.”

Hii ni Club ya Chawa wa Mama!
 
Tanzania Praise and Worship Crowd(TPWC).
 
Yer 17:5 SUV
MUNGU asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha MUNGU.
 
jambo ambalo sijawahi kuwakewa muslims wa tanzagiza mpaka leo ni kwa nini wako sooo obsessed na Christianity, kuna mzee muslim namjua ana Biblia anaishi nayo na anaisoma na kuanza ubishi wa kidini hakuna kitu kingine anajua.

sijawahi kukutana na Christian akilimiliki msaafu hata siku moja au hata akinukuu msaafu, only dirty muslims do this …
 
jambo ambalo sijawahi kuwaelewa muslims wa tanzagiza mpaka leo ni kwa nini wako sooo obsessed na Christianity, kuna mzee muslim namjua ana Biblia anaishi nayo na anaisoma chapter kwa chapter na kuanza ubishi wa kidini hakuna kitu kingine anajua.

sijawahi kukutana na Christian akilimiliki msaafu hata siku moja au hata akinukuu msaafu, only muslims do this …
 
Back
Top Bottom