Wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Nachingwea, Fadhili Liwaka amerejea kwenye Biblia, akielezea safari ya Wana wa Israel kutoka kwa Nabii Musa hadi Nabii Yoshua akiifananisha na safari ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu.
Akanukuu Yoshua 1:6: “Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana...