fahamu

  1. zachaja

    Fahamu Aina za Kodi Zinazotozwa Pindi unapoingiza Gari Nchini

    Kodi zifuatazo hutozwa kwenye magari yanayoingia nchini; 1. Ushuru wa forodha (Import Duty): asilimia 25% ya thamani ya kununulia gari (CIF Value) 2. Ushuru wa bidhaa (Excise Duty due to CC-EX): asilimia 0%, 5% & 10% kutegemea na ukubwa engine (chini ya 1000cc= 0%, cc 1000 mpaka 1,999=5% & cc...
  2. Kidaya

    FAhamu zaidi kuhusu Chanjo

    Karibia kila mmoja wetu amewahi kuchoma chanjo ya kujikinga na ugonjwa fulani hasa alipokuwa mtoto. Chanjo za watoto kama chanjo ya kifua kikuu, polio, pepopunda na surua kwa kiasi fulani zimekuwa na mwitikio mkubwa kutokana na kampeni zinazofanywa na serikali na wadau wa afya kuhakikisha kila...
  3. Peter_John

    Msaada kwa anae fahamu hapa shida itakua nini

    Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina sinyaa na kua ndogo ndogo yaani ndogo sana na Hadi wakati mwingine zinapotea kabisa yani huoni kitu , kwa...
  4. Wizara ya Afya Tanzania

    Fahamu Tiba Kinga ya Malaria kwa Wajawazito

    Wajawazito wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa wa Malaria katika Jamii. Dawa ya SP hutolewa kukinga madhara ya Malaria kwa kuua vimelea vinavyojificha kwenye kondo la nyuma. TIBA KINGA YA MALARIA KWA WAJAWAZITO (SP) Malaria wakati wa ujauzito ni hatari zaidi kwa mama na mtoto aliye...
  5. Vincenzo Jr

    Fahamu chuki ni tatizo la kifikra zaidi na dawa yake hii hapa

    Sisi binadamu namna yetu rahisi ya kuelewa na kukumbuka mambo ni kwa kuyaweka mambo katika makundi mfano tunawagawa watu katika makundi kama marafiki, ndugu, watoto, maadui, warefu, wafupi, n.k. Makundi haya yanatusaidia kujenga picha ya haraka hata kama wakati fulani hatuwezi kuelezea wazi wazi...
  6. FaizaFoxy

    Fahamu ukweli kuhusu Palestina

    Fahamu ukweli kuhusu Palestina. Sheikh Stambuli Abdillahi Nassir sehemu ya kwanza: Barua inayoongelewa hapo ipo post #17. Inaendelea...
  7. Mr George Francis

    Fahamu kuhusu talaka na taratibu zake katika Uislam

    FAHAMU kuhusu TALAKA na taratibu zake katika UISLAMU. Sehemu Ya 1 ‏اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎) As-salāmu alaikum wa-rahmatullahi wabarakātuh. Peace be upon you as well as God's mercy and blessings. Amani iwe juu yako pamoja na rehema na baraka za Mwenyezi Mungu...
  8. TTCC_TECNO

    Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  9. Jemima Mrembo

    Fahamu namna ya kuachana na mtu ambaye unamuota kuwa unazini nae ndotoni

    FAHAMU NAMNA YA KUACHANA NA MTU AMBAYE UNAMUOTA KUWA UNAZINI NAE NDOTONI 1️⃣ Je, Umeshawahi kuwa na mchumba wako na mkashiriki Tendo la ndoa na mkaachana bila kuoana?? 2️⃣ Je ,Umeshawahi kuoa au kuolewa halafu mkaachana baadae na Sasa upo pekee yako au umeoa/kuolewa na mtu mwingine?? 3️⃣ Je...
  10. Masokotz

    Fahamu Kuhusu "Imposter Syndrome"

    Je umewahi kutaka kufanya Jambo fulani ila ukaacha kulifanya kwa sababu ya kufikri kwamba hutaweza,utadharaulika,watu watakuonaje na kuwa na hofu na kutokujiamini kwa sababu tu ya kuhisi kwamba wewe hufai au kustahili kuwa katika nafasi au kufanya jambo hilo? Kama jibu ni Ndio basi wewe unaweza...
  11. Masokotz

    Fahamu Kuhusu Internet Business

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama kabisa na harakati zenu za kujenga Uchumi binafsi na watanzania huku mkiendelea kupambana kupata mgao wenu wa Keki ya Taifa ambapo kwa wakazi wa Dar es Salaam wanapambana angalau wafikishe pato la Milioni 4.8 kwa mwaka na kwa...
  12. S

    Fahamu azimio la Balfour lilipelekea kuanzishwa kwa taifa la Wayahudi katika ardhi ya Wapalestina

    Ilikua ni mwaka 1917, Arthur Balfour , alitoa azimio la uungwaji mkono uanzishwaji wa taifa la Wayahudi , Israel. kwa wakati huo, hakukua na nchi iliokua ikiitwa Israel. ili kufanikisha mpango huo, Uengereza ilihamisha maelfu ya wayahudi Palestina, na iliwasaidia kununua ardhi. Baadae...
  13. FRANCIS DA DON

    Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

    Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama. Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii. Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
  14. Mhaya

    FAHAMU: Teknolojia ya IRON DOME inayotumiwa na taifa la ISRAEL kutungua makombora angani

    Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui. Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
  15. Masokotz

    Fahamu Kuhusu Mchanganuo wa biashara

    Mchanganuo wa biashara ni hatua muhimu katika mchakato wa kuanzisha au kuendeleza biashara. Inahusisha uchambuzi wa kina wa mambo mbalimbali yanayohusiana na biashara yako, na inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kufanikiwa kwa biashara yako. Unaweza kuwa na mchanganuo wa biashara ambayo tayari ni...
  16. Masokotz

    Fahamu Tabia 15 za Wanaotafuta Utajiri

    Kuna Tabia za kila namna huku duniani.Kuna tabia za watu maskini,kuna tabia za matajiri na aina nyingine nyingi za makundi ya kitabia.Kabla ya kuanza kuelezea kuhusu tabia za watu wanaotafuta utajiri(Tabia ambazo wakiwa nazo ndipo wataweza kufanikiwa kuwa matajiri) Nataka kwanza nieleze maana ya...
  17. S

    Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  18. Masokotz

    Fahamu kuhusu Holding Company-Kampuni Hodhi

    Je wewe ni mfanya biashara ambaye unatakamani kujishughulisha na zaidi ya aina moja ya shughuli za kiuchumi?Kama jibu ni ndio basi holding Company-Kampuni hodhi ndio suluhu yako. Kampuni hodhi (Holding Company) ni aina ya muundo wa kampuni ambapo kampuni moja inamiliki hisa au ushiriki katika...
  19. Vincenzo Jr

    Fahamu mashirika ya ujasusi yenye uwezo mkubwa duniani

     Ujasusi ndio 'kiini tete' cha kila nchi na ujasusi wake wa nje na wa ndani unazingatia masilahi na usalama wa kitaifa. Shirika la Kitaifa la Ujasusi ndilo ulinzi wa kwanza wa taifa, na ndilo shirika linalohusika na kupata taarifa za siri, na dhana za udukuzi zinazofanywa na nchi, lakini si...
  20. Spinal Health

    Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika na hapo ndipo magonjwa yanaanza kujitokeza, mara nyingi ni magonjwa yanayohusiana na uti wa mgongo...
Back
Top Bottom