Wasalaam,
Ulikuwa unafahamu hili?
Duniani kote inakadiriwa ni ndege 23,241 pekee zimesajiliwa kama ndege binafsi (private jets) ambazo zinatumiwa na kumilikiwa na watu maarufu pamoja na wafanya biashara wakubwa duniani kote, huku taifa kubwa la Marekani likiwa na asilimia 63 ya sajili ya...