Je, unajua kwamba bei za huduma nyingi za mtandaoni kama YouTube Premium, Netflix, Spotify, na hata tiketi za ndege au hoteli hubadilika kulingana na nchi uliyopo?
Kampuni nyingi hutumia bei tofauti kulingana na watu fulani, hii mbinu maarufu ya kibiashara inaitwa price segmentation na...