Habari ya muda huu Wapwa?
Natumaini mnaendelea vizuri kabisa, ila kwa wale ambao hamko vizuri kwa namna yoyote Mungu awaongoze mvuke katika hilo.
Wapwa, leo nagusia kuhusu uchangamfu katika biashara, mahusiano au sehemu zingine.
Kabla sijaendelea nikuulize, hivi ulishawahi kukaa, kuhudumiwa...