faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kama umati unaokuja kukusikiliza ni kwa vitisho na kukandamiza watumishi na wanafunzi, nini faida ya umati huu?

    Siasa za Tanzania zimekuwa za ajabu sana, yaani kiongozi mkuu analazimishiwa umati ili aonekane amejaza watu na ipeleke picha kwamba anakubalika kumbe kiuhalisia ni uongo mtupu. Jiji la Mwanza linahitimisha shughuli za mwenge wa taifa tarehe 14/10/2024. Lakini cha ajabu maandalizi yote kwa...
  2. Nyankurungu2020

    Mwanza: Daraja la Magufuli limekamilika. Je, Makamanda wa CHADEMA watalitumia?

    Walidai ni megastructures zisizo na faida. ==== Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
  3. Huihui2

    Pre GE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

    Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa. HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE. Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
  4. P

    Ukitaka udumu tendoni jaribu kumwaga nje

    Unapokuwa umejenga nyumba yako nzuri na kuiwekea fens au uzio suala la utupaji taka taka nje kwa majirani linaumiza jitahidi uwe na sehemu ya kuhifazia taka taka Ukitaka udumu tendoni jaribu kumwaga nje inapelekea kutomaliza hamu yani muda wote unakuwa umedisaaaa....ikishindikana unapata...
  5. G

    Profit ni kitu muhimu sana kwenye kuamua biashara ya kufanya, ukiwa na mtaji mdogo epukana na biashara zenye faida chini ya 10%

    Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina, Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5% Utachelewa sana
  6. Jumanne Mwita

    Toka nakua na mpaka sasa sioni faida ya Mwenge wa Uhuru

    Kwa vyovyote vile nitakuwa wa mwisho na wakwanza kuajua faida za mwenge. Sioni faida wala umhimu wa huu mwenge kuwepo, mwenge umekuwa na karaha pale unapoenda sehemu yeyote. Kuna siku nimeitwa na mkuu wa Wilaya, wilaya flani akisema nitoe mchango wa mwenge nikamwambia mwenge unabajeti yake...
  7. Sodoku

    Prof Kabudi ni mtu ambaye ukimwambia aelezee ubora au faida za Nzi ni nyingi kuliko Nyuki anaweza shawishi watu wengi

    Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu. Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia...
  8. G

    Tech Money: Siku ya leo ninalaza faida ya laki 5, wiki 2 zijazo nategemea kufunga biashara kwa faida milioni 3, kuna wabongo wanapenda sana games.

    Niliweka uzi huu jujwaa la biashara ila audience yake nilivyoiona ina mwamko mdogo wa mambo ya tech, nimeona niwaletee watu wa tech. Ni biashara ambayo huwa naifanya kipindi ambacho game ya mpira toleo jipya likitoka, silaha kuu ni kujitahidi kuwa mtu wa mwanzo kabisa kumiliki mali, inasaidia...
  9. REM GROUP

    SOFTWARE SOFTWARE : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  10. The Sheriff

    Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

    Watanzania waambie njooni muandamane Simba ameleta kombe, wataandamana hata uchi kwenda uwanja wa Taifa. Wanazingatia sana mamboa ambayo si ya msingi. Kwenye culture yetu tuliamini kuwa mambo yote magumu magumu ni ya viongozi. Hali hii itaendele na itakuwepo kwa muda mrefu kwasababu kwanza...
  11. L

    Kama wewe ni mwana Simba na kesho Simba inacheza halafu huendi kuisapoti kumkaanga Mwarabu naomba ukae pembeni na usiishangilie tena Simba, huna faida

    Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi. Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu wa faida, kesho ndio cku muhimu kuliko cku zote katika maisha ya Simba msimu huu. Tusipokwenda...
  12. Yoda

    Wafanyabiashara wa migahawa huwa wanapataje faida wakiwa na rundo la wafanyakazi?

    Katika biashara ya migahawa mingi huwa naona rundo la wafanyakazi ukilinganisha na ukubwa wa mgahawa. Kuna mgahawa nimeona una viti 40 na wafanyakazi kama 30 hivi, kuna migahawa midogo midogo ya mtaani mingi ambayo haiwezi hata kukaa zaidi ya watu 5 lakini wafanyakazi wako 5! Ninachojiuliza...
  13. G

    Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  14. kavulata

    Timbwili la Mzee Magoma limezimwa, ameinusuru Simba.

    Hakuna Magoma tena, punzi imekata. Akina Magoma wako wengi sana pale Simba na Yanga (kulwa na doto), wale wa Simba walikuwa wakisubiria waone Magoma wa Yanga atanufaikaje na kesi ili nao walianzishe. Kushindwa kesi kwa Mzee Magoma na wenzake ni manusura kwa Simba. Wachambuzi na wanahabari wetu...
  15. maelekezo

    Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  16. ndege JOHN

    kuna faida zipo kutunza hela kwenye kibubu

    Nimeanza kucheza betting ya akili sasa hivi na deal na odds 1.27 mpaka 1.30 halafu mkeka wa accumulation mecchi 4 tu zilete odd ya 2.68 na zaidi na sio single bet mtaji ni laki 2 na natumia finobacci system.matokeo yanaenda vizuri nataka hela yoyote ndogo nitakayokuwa nakula niwe naitoa...
  17. I

    Faida za kufanya mapenzi

    Kufanya mapenzi mara kwa mara kunaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya na kiakili, ingawa ni muhimu kutambua kuwa faida hizi zinaweza kutofautiana kati ya watu kulingana na hali ya afya, mahusiano, na maisha yao binafsi. Hapa kuna baadhi ya faida hizo: 1. Kupunguza Msongo wa Mawazo: Kufanya...
  18. Nigrastratatract nerve

    Faida za Daraja la Magufuli

    Daraja la Kigongo-Busisi, maarufu kama "Magufuli Bridge," ni mradi mkubwa wa miundombinu uliojengwa kuvuka Ziwa Victoria, unaunganisha Wilaya ya Kigongo na Wilaya ya Busisi katika Mkoa wa Geita. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za daraja hili: 1. Kuboresha Usafiri na Usafirishaji: - Upungufu wa...
  19. Kiplayer

    Utajiri hauna faida nyingine zaidi ya sifa

    Ndio hivyo kusifiwa tu kwamba fulani ana mkwanja mrefu hakuna jipya mengine yote hata wenye maisha ya wastani wanayo.
  20. Baba Vladmir

    Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers)

    Ukikamua tunda ili kupata juice unapoteza nyuzinyuzi zake ( Fibers). FAIDA ZA KULA FIBERS; Mosi , Fibers ni chakula cha chembe hai za utumbo mpana. Utumbo mpana huzibadili fibers kuwa mafuta yajulikanayo kama BUTYRIC ACID. Mafuta haya ndo chanzo cha nishati kwa chembe hai za utumbo mpana (...
Back
Top Bottom