Msaada nina milioni 500 hapa ambayo nataka niiwekeze niwe nakula faida tu, wapi kunafaa kwa uwekezaji huu?

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
991
Reaction score
2,144
Wazee kwema

Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅)

Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je, ni wapi ambapo naweza kuwekeza na mchanganuo wake upoje?

Nawasilisha
 
Wazee kwema

Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅)

Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je ni wapi ambapo naweza kuwekeza na mchanganuo wake upoje?

Nawasilisha
Umeshasema umeshauriwa Sasa sisi tukushauri nini
 
Wazee kwema

Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? [emoji28])

Kuna mtu amenishauri nikaiwekeze sehemu mi niwe nakula faida tu maisha yangu yote. Je ni wapi ambapo naweza kuwekeza na mchanganuo wake upoje?

Nawasilisha
Kama lengo lako ni kuwelkeza sio kuonyesha ungeelezea hizo pesa umezipata je, kama njia inaeleweka zirudishe pale pale upate zingine 1000m kwasbb panaonekana panalipa vzri.
 
Sijazipata kimagendo, ni kwenye machimbo mzee! Baada ya kuzamia migodini kwa muda mrefu ndo nikabahatika kuipata...

Kama unalolote la kushauri nakusikilizia kaka 🙏
 
13%Equity Bank kwa Mwaka.Weka kwa miaka 5.Then Unitafute nikupe Next step.Unapata 5M Kila Mwezi
Ahsante kwa ushauri, je nao huwa wanatoa faida ya kila mwezi au ndo mpaka hiyo miaka mitano iishe ndo unaweza kuiona hela yako?

NB: hii faida ya kila mwezi nayoisemea hapa nataka iwe km mshahara fulani wa kila mwezi. Si unajua tena kwa sisi tusio kwenye ajira za serikali mambo huwa ni mengi
 
Weka UTT AMIS mfuko wa Liquid fund kama kweli unayo hiyo million 500, ambapo utapata faida ya 1% kila mwezi sawa na million 5 kila mwezi na kwa mwaka utapata million 60. Hapa utakuwa huna haja ya kufanya kazi utakuwa naamka asubuhi ufanye mazoezi tu. Lakini hii million 5 unaweza kufanya vitu vingine vidogo vidogo ili vikuweke akili busy
 
Hii unakula kila mwezi kisha baada ya hio miaka 5 ela yako itakuwepo.Ila sasa kuna Next step ya ushauri ambayo sio BURE hiyo inabidi unicheck inbox kama uko serious na Kutaka kutengeneza Utajiri.
 
Weka UTT AMIS mfuko wa Liquid fund kama kweli unayo hiyo million 500, ambapo utapata faida ya 1% kila mwezi sawa na million 5 kila mwezi na kwa mwaka utapata million 60. Hapa utakuwa huna haja ya kufanya kazi utakuwa naamka asubuhi ufanye mazoezi tu. Lakini hii million 5 unaweza kufanya vitu vingine vidogo vidogo ili vikuweke akili busy
Shida ya UTT kiasi hicho cha PESA kwa initial deposit sio salama.Fahamu kwamba UTT Funds nao ukiwapa hela wanaenda kuwekeza Sehemu nyingine sasa ukiwapa milioni 500 kwa mkupuo inakuwa ni Matumizi mabaya ya Pesa.Mm binafsi siwezi mshauri mtu mwenye 500Milioni aanzie UTT.Mimi namshauri aende Benki ya Fixed Deposit aweke hiyo Pesa kwenye Fixed yenye RIBA nzuri tena anaweza Negotiate Nao kabisa.Aifungie kwa miaka 5.Equity kwa sasa wanatoa Riba ya 13% inamaana atapata 5Milions kila mwezi.Then kwa hatua inayofuata inabidi atafute ushauri wa kitaalamu zaidi ambao siwezi kumpa mtu mwenye milioni 500 BURE.
 
Kanunue treasury bonds za BOT, 25 years nafikiri 16%, utapata milioni 80 kila mwaka for the next 25 years
Shida ya Tresury institutional investors kama UTT,Mabenki etc wanakimbizana nazo sana.Huko ndiko na wao huwa wanapeleka hela ukiwapa.Vile Treasury Bonds ni mpaka zitangazwe na BOT ndipo ununue sio kila siku ziko sokoni
 
Akitumia brokers anaweza kuzipata kirahisi, na anaweza kununua za nchi zote za EAC akikosa za TZ, rate na taxes ziko sawa karibu zote
 
Back
Top Bottom